Yaani dar ... imeporomoka Kwa kasi vibaya.kutoka kuwa na asilimia 10 ya watu wote Tanzania Hadi asilimia 8.7 ..Hali sio teteNilichofurahi ni kwamba kwa sasa hakuna tena ongezeko la watu wanaohamia Dar Kwa Kasi,yaani Mkoa mzima wa Dar haujafika watu mil.6.
Tafsiri ni kwamba watu walikuwa wanahamia Dar Kwa sababu kulikuwa kunapatikana kila kitu sasa imekuwa tofauti..Yaani dar ... imeporomoka Kwa kasi vibaya.kutoka kuwa na asilimia 10 ya watu wote Tanzania Hadi asilimia 8.7 ..Hali sio tete
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa maeneo mengi ya vijiji yanakaribia huduma zote za kijamii, Umeme, maji, afya, huduma za kifedha baadhi usafiri wa uhakika. Bado maisha ni nafuu kuliko mjini kwa nini DAR? Mpango wa WB wa kufinance maendeleo ya miji yetu unalipa sasa.Tafsiri ni kwamba watu walikuwa wanahamia Dar Kwa sababu kulikuwa kunapatikana kila kitu sasa imekuwa tofauti..
So tuendako nao watategemea zaidi uzazi kwa ongezeko la watu na kwao uzazi ni mdogo so itaendelea kuporomoka zaidi next 10 years..
Hakuna Sababu ya kuhamia Dar Kwa sasa eti kutafuta Huduma za jamii.
Geita ni moto.....mkoa Mpya tu lakini inakaribia 3 milioniTabora,yaigaragaza mbeya ,na dodoma Kwa idadi ya watu ....sensa hii inaonyesha idadi ya watu katika mikoa mingi Iko stagnant....Arusha na mbeya kama ziko vile vileView attachment 2403244
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba hii pdf please....Tabora,yaigaragaza mbeya ,na dodoma Kwa idadi ya watu ....sensa hii inaonyesha idadi ya watu katika mikoa mingi Iko stagnant....Arusha na mbeya kama ziko vile vileView attachment 2403244
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia nbs.go.tzTunaomba hii pdf please....
Sidhani kama mkoa wa kagera utatajwa maskini tena...maana walikuwa wanauhesabu una watu zaidi ya million 3.4 kwa takwimu zao...sasa 2.9m
Njombe imeshika mkia ...Tabora,yaigaragaza mbeya ,na dodoma Kwa idadi ya watu ....sensa hii inaonyesha idadi ya watu katika mikoa mingi Iko stagnant....Arusha na mbeya kama ziko vile vileView attachment 2403244
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza jiji population imeshafika over 1m
Hivi Population nayo ni ya kujivunia kweli?Tabora,yaigaragaza mbeya ,na dodoma Kwa idadi ya watu ....sensa hii inaonyesha idadi ya watu katika mikoa mingi Iko stagnant....Arusha na mbeya kama ziko vile vileView attachment 2403244
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka figures hapa acha blaa blaa..Mwanza jiji population imeshafika over 1m
Takwimu zitawa favour zaidi Mwanza maana 12/3.6 =3.3 kutoka 2.7..Tunaomba hii pdf please....
Sidhani kama mkoa wa kagera utatajwa maskini tena...maana walikuwa wanauhesabu una watu zaidi ya million 3.4 kwa takwimu zao...sasa 2.9m
Wewe hunaga akili,kwani kuzaa Sana ndio tija au Kuzalisha Sana?
Sasa mtu ambaye ulilisisitiza nikajifunze uchumi kwake kwamba ni mchumi mwenzako unamwambia hana akili...?!Wewe hunaga akili,kwani kuzaa Sana ndio tija au Kuzalisha Sana?
Nilijua tu...takwimu za per capita zinaifavor njombe na kilimanjaro kwa sababu wana idadi ndogo ya watu....
Huoni kagera hapo inakaribia million 3.4...Hivi Population nayo ni ya kujivunia kweli?
Afu unasema iko stagnant kiaje wakati watu Mbeya wameongezeka kutoka 1.7(2012) hadi 2.3 sawa na ongezeko la watu 600k,
Mwanza kutoka 2.7(2012) hadi 3.6 sawa na 900k sasa hiyo stagnant iko wapi?
Mbona Takwimu za Kila siku nilizokuwa naweka zilikuwa hivyo siku zote? Mfano hii ya mwaka 2021
Shida anaongea ushabiki badala ya uhalisia na tafsiri ya Takwimu..Sasa mtu ambaye ulilisisitiza nikajifunze uchumi kwake kwamba ni mchumi mwenzako unamwambia hana akili...?!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app