Kahama VS Njombe/Mafinga

Hii ni ile train ya kitalii ambayo huwa inakuja mara moja kwa mwaka kutokea South africa
Bora umemwambia inaitwa ROVOS na hapo Ni makambako station
 

Attachments

  • FB_IMG_16667564881191025.jpg
    7.7 KB · Views: 7
  • FB_IMG_16667564795864093.jpg
    52.6 KB · Views: 8
  • FB_IMG_16667563293766437.jpg
    38.4 KB · Views: 7
  • FB_IMG_16667563017181091.jpg
    39.9 KB · Views: 6
  • FB_IMG_16667562390029025.jpg
    32 KB · Views: 8
Yaani Mbeya inalingana na Nyegezi wakuu hata kimuonekano tokea juu! Kusema kweli Mbeya bado sana aese!
acha kufananaisha nyegezi na CBD ya mbeya isiyoeleweka, Nyegezi kuna nyumba zilizopangiliwa vizuri, nyegezi ina ukijani mzuri kutoka milimani, nyegezi ina stendi bora hapa Tanzania, Nyegezi ina chuo kikubwa cha SAUTI.
Huwa nakaa najiuliza kwanini mbeya iliitwa green city wakati jiji lina ukame na vumbi everywhere.
 
Hahaha kweli mkuu ni majumba ya tope kila kona!
 
Hii ni ile train ya kitalii ambayo huwa inakuja mara moja kwa mwaka kutokea South africa
Nyie mlieletewa mabehewa ya kisenge kama mapipa ya pombe huko kwenye sgr zenu hamuoni?
Hii ni ile train ya kitalii ambayo huwa inakuja mara moja kwa mwaka kutokea South africa
Mwisho kwa sasa Serikali unapanga kununua train ya utalii kwenye reli ya sgr kama hii Kwa ajili ya utalii wa ndani..
 
Hahaha kweli mkuu ni majumba ya tope kila kona!
Bora tope la Mbeya ni gumu kuliko mauchafu yale kwenye vilima vya huko Mwanza..

Akinya wa Mlimani wa bondeni anaisoma namba na watu hawana vyoo wanakunya kwenye Ziwa 😁😁😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20221022-071444.png
    273.6 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221022-071243.png
    259.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221022-070651.png
    158.9 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221022-070644.png
    159.4 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221021-221222.png
    400.5 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221021-221213.png
    290.7 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221021-221155.png
    423.5 KB · Views: 8
Bora ata tupe ziwe na mpangilio kama zile za lindi lakini za mbeya ni nyumba za tope zisizokuwa na mpangilio hakuna njia ya kupita kwa bodaboda na hapo ni katikati ya jiji la Mbeya.
Hapa lazima mpite kimya kimya huku mkisonya πŸ˜„πŸ˜„.

Go Mbeya go πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221029-161618.png
    137.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221029-161612.png
    159.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221026-160714.png
    200.5 KB · Views: 8
Rukwa embraces modern sunflower farming πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221028-134651.png
    292.6 KB · Views: 8
Eti wanataka kushindana na Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221027-232050.png
    165.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221027-232104.png
    207.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221027-232243.png
    444.1 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…