Kahama VS Njombe/Mafinga


Mzigo Mpya ...unaingia jijini ....SATCO mwanza pride ....
View attachment 2397854View attachment 2397856
Hizo road Kuna haja ya kuzifumua Ni sawa tu na za mitaani ndo maana Kuna siku niliwambia ule mkeka wa TAZAM ROAD Ambayo ndo barabara namba moja Tanzania wametendea haki na wakimalizia igawa to tunduma itakuwa burudan sehemu za mji zote wamepiga njia nne
 
Hapo umeongea point ndugu yangu, pamoja na kwamba natokea kanda ya ziwa ila na support hii barabara ipigwe njia nne,
Nafikiri wajitahidi wapige njia nne kuanzia moro mpaka Tunduma
 
Flyover ya Mafiati Mbeya iliyosanifiwa na MUST πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221026-163814.png
    120.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221026-160942.png
    180.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221026-160736.png
    186.5 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221026-160714.png
    200.5 KB · Views: 10
Madarasa ya shule za Sekondari kwa Mbeya ni magorofa tuu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221026-162220.png
    123.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221026-162337.png
    109 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221026-162309.png
    140.4 KB · Views: 9
Wananchi wameng'ang'ania kubaki Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221026-160504.png
    185 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221026-160517.png
    145.2 KB · Views: 7
Ujenzi wa barabara ya Njombe - Ifakara kuanza kujengwaπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221026-161439.png
    181.5 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221026-161503.png
    159.4 KB · Views: 7
sasa hilo nalo ni jambo jipya la kujisifuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ kwa taarifa yako mwanza wanajenga shule 16 za sekondari za serikali magorofa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Ziko wapi? Kwani unadhani ni hizo tuu? Mbeya hadi shule za msingi za magorofa zinajengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…