The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Zipo za class 1 kabisa japo sio kubwa kwa level ya Nyanza..Hv mbeya mna kampuni kubwa ya ukandarasi wa barabara ya wazawa kuizidi nyanza contractor ππππ
Hospital ya Rufaa ya Kanda Mbeya,Tukuwekee hapa ili ...sema nikutumie nauli uje nikutembeze ...nauli ya mbeya ni elfu 60 nichek pm
hizo hospital ni hiz na Sina muda wa kutumia picha waweza google
Sekotouere hospital
Bugando hospital
Uhuru hospital
AAR hospital
Tanzanite hospital
Mwanza hospital
Kamanga medics
Agha Khan hospital
Mwananchi hospital
Nyamagana hospital
Hindu Mandal hospital
.ukitaka addition nakupa
Mkoa wa njombe upo moto Sana na huu ndo uhalisia wenyeweWakati wataalamu wakisubiria matokeo ya sensa tarehe 31 mwezi huu,haya ndiyo yanajadiliwa π
Mkoa wa njombe upo moto Sana na huu ndo uhalisia wenyeweView attachment 2395474Wakati wataalamu wakisubiria matokeo ya sensa tarehe 31 mwezi huu,haya ndiyo yanajadiliwa π
Naona Makambako imeanza kufufuka sasa ,safi Sana.Makambako CBD project zinaendelea kuongezeka
View attachment 2395476View attachment 2395477View attachment 2395480View attachment 2395481
Njombe haijawahi kusinzia..Mkoa wa njombe upo moto Sana na huu ndo uhalisia wenyeweView attachment 2395474
Royal hospital Ghana/ Mza sasa wapo Ghorofa ya 8 na matoleo Ghorofa ya 9 tayariMbona umeisahau hospitali ya wasabato pale pasiansi yenye gorofa 6
Mbali ni kilimo ma dhahabu, ziwa kwetu ni chanzo kikubwa sana cha mapato. Ajira, foreign exchange, family incomes, employment. Ndio ujue kwa nini population growth ipo fevoured zaidi Lake zoneMkoa wa njombe upo moto Sana na huu ndo uhalisia wenyeweView attachment 2395474
Hospital nyingine hii hapa kwa Mbeya inaitwa Makendza Specialist Clinic..πRoyal hospital Ghana/ Mza sasa wapo Ghorofa ya 8 na matoleo Ghorofa ya 9 tayariView attachment 2395552
Kwa hiyo kutoka hapa Kamanga hadi Mwanangwa ndio km 55?Dual carriage 55Km,
Inaanzia Mkuyuni kuelekea Mwanangwa njia nneKwa hiyo kutoka hapa Kamanga hadi Mwanangwa ndio km 55?
Hakuna kitu kitakuwepo Mwanza ila kisiwepo Mbeya hata meli zipo Ziwa Nyasa..
Mwisho Wiki iliyopita Kulikuwa na Site Visit ya Wakandarasi kutoka Igawa hadi Tunduma kwa ajili ya ujenzi wa njia 4 km 272..
Kwa kuanzia tuu zitajengwa km 29 na ndani yake kutakuwa na Flyover..
Mbeya ya 2025 itakuwa tamu Sana π
Hyo flyover itakuwa na km ngap? au ni madaraja kama ya furahisha na mabatini ambayo sisi tunayo hata sisi kwny hyo project ya km 55 madaraja ya juu yatakuwepo mkuyuni,nyegezi na buhongwaKwa hiyo kutoka hapa Kamanga hadi Mwanangwa ndio km 55?
Hakuna kitu kitakuwepo Mwanza ila kisiwepo Mbeya hata meli zipo Ziwa Nyasa..
Mwisho Wiki iliyopita Kulikuwa na Site Visit ya Wakandarasi kutoka Igawa hadi Tunduma kwa ajili ya ujenzi wa njia 4 km 272..
Kwa kuanzia tuu zitajengwa km 29 na ndani yake kutakuwa na Flyover..
Mbeya ya 2025 itakuwa tamu Sana π
Ni pedestrian flyover.....waandishi wa habari wasikuchanganyeHyo flyover itakuwa na km ngap? au ni madaraja kama ya furahisha na mabatini ambayo sisi tunayo hata sisi kwny hyo project ya km 55 madaraja ya juu yatakuwepo mkuyuni,nyegezi na buhongwa
pasiansi sda hospital a hviHospital nyingine hii hapa kwa Mbeya inaitwa Makendza Specialist Clinic..
Kumbe inaitwa royal hospital aisee ...mwanza kwenye sector ya afya wako juu sanaRoyal hospital Ghana/ Mza sasa wapo Ghorofa ya 8 na matoleo Ghorofa ya 9 tayariView attachment 2395552
Nasikia jamaa walichukua plot kwa 700MKumbe inaitwa royal hospital aisee ...mwanza kwenye sector ya afya wako juu sana