Kahama VS Njombe/Mafinga

Kuna kiwanda Cha shimha pale nyakato...huyo jamaa ni mshamba sana
 
Kwamba Mbeya sio level zenu,sie ni wakubwa siku nyingi ndio maana mnababaika na sgr wakati huku tuna reli kitambo sana.
Reli Gani mliyo nayo ...kama sio Nyerere kufadhiliwa na mchina ..hyo reli mngeisikia tu .....huku reli Ina miaka mia kadhaa Toka mwingereza anatawala..ndo ujue tuko productive long ago
 
Reli Gani mliyo nayo ...kama sio Nyerere kufadhiliwa na mchina ..hyo reli mngeisikia tu .....huku reli Ina miaka mia kadhaa Toka mwingereza anatawala..ndo ujue tuko productive long ago
Tazara Cape gauge tena iko na nafasi ya kuwa upgraded to sgr.
 
Vyote hivyo ulivyovitaja viko Mbeya kasoro sbl tuu..

Kwa hiyo umeomba msaada wa Shinyanga πŸ˜‚πŸ˜‚..

Sasa ndio tumejenga na hicho Kingine Cha BrewMaster Limited πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221019-193616.png
    147.7 KB · Views: 6
Utaishia huko huko kwenye historia ya zilipendwa ndio maana Nimekwambia leteni nyumba za watu binafsi mumeshindwa kuleta..

Mbeya ya Sasa ni next level Mzee.
We jamaa ,ni falacy kweli ..tumekuletea apartment za watu binafsi Kali .we umeleta viramani uchwala

Niletee mtaa wenye nyumba Kali kama huu ilemela..hpo kijijini
 
HIV ..walitumia vigezo Gani kuipa hadhi mbeya kuwa jiji..aisee mwandosya ,,,alizingua kinoma. ..mji mchafu ... kwenye mapato ya halimshauri ni ya mwisho
Idadi ya watu ni kama manispaa tu
Haina CBD ya kueleweka
hamna biashara
Living standard ya watu wake ni poor
Uwekezaji uko chini
Infrastructure ziko low .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…