Yaani kama hiyo ndio apartment basi kwa Mbeya ni kajengo tuu ka biashara,tuna apartments πHii mwanza ni kama ki apartment sio hotel ....maybe lodge tu kama zilizopo pale nyakato ...ni aibu Kwa jiji kuwa na hotel za kishamba namna hyo .
Nera apartment, isamilo View attachment 2394139View attachment 2394140
Usifananishe mlivyopigwa huko kwenu Kwa kuwapa wazungu dhahabu na huku kwetu..hii ,,,saw na gas ya mtwara.. beneficiary ni dar na pwani ....the same applies to this
Mungekuwa na shule kama hiyo si tungekoma..π
Mbeya πhako kajengo ka ghorofa sita ndio unakojivunia ....ndo maana hamna raisi anayependa kwenda mbeya .hata tulia akson ana kiwanja chake isamilo rock city...hataki vumbi chafu kama la hapo Kwa mama john
Ukileta complex kama hii nitag niwape salute View attachment 2394132View attachment 2394133View attachment 2394134
Yan hayo majengo unayojivunia cbd hata buzuruga na nyegezi wamekuzidi ππππUkiwaambia walete makazi ya watu wanakimbia ππ.
Wakijitahidi wanakuja na hostels
Mbeya π
ππ Hii inakuhusu πYan hayo majengo unayojivunia cbd hata buzuruga na nyegezi wamekuzidi ππππ
hii ni apartment au hospital...?!Yaani kama hiyo ndio apartment basi kwa Mbeya ni kajengo tuu ka biashara,tuna apartments
Mahakama kuu Kanda ya Mbeya..
unajaribu kusemaje...?! sawa hakuna jengo kama hilo... sasa unahitimishaje...?!Mahakama kuu Kanda ya Mbeya..
Hakuna jengo kama hili Kanda ya Ziwa yote.
Aisee mbeya ni pabaya .check uto tujumba pembeni ya jengo..duh ...Mahakama kuu Kanda ya Mbeya..
Hakuna jengo kama hili Kanda ya Ziwa yote.
Huioni nickel hapo ...katafute matumizi ya nickel ujue thamani yakeTunapowaambia watu wa Kanda ya Ziwa kwamba Nyanda za Juu ni matajiri muwe mnaelewa..
Soma huo Utajiri wa gas ya helium ulioko Ziwa Rukwa namba 2 Duniani Kwa kuwa na deposits kubwa.
So ni suala la mda tuu kuwa second to Dar Kwa GDP
Mwanza imeshawapiga gap la trillion 2 ...na growth rate ya mwanza ni trillion 1 Kwa mwaka..wakati mbeya ni billion 500 ..sijui mtaifika Lini mwanza ... shinyanga Iko nyuma hapo ina trillion 8.3 na Ina growth rate ya billion 700 ..mwakani mnakuwa na trillion 9 sawa na shyTop 3 ya GDP Tanzania
Kila siku nakuambia akili huna..Mwanza imeshawapiga gap la trillion 2 ...na growth rate ya mwanza ni trillion 1 Kwa mwaka..wakati mbeya ni billion 500 ..sijui mtaifika Lini mwanza ... shinyanga Iko nyuma hapo ina trillion 8.3 na Ina growth rate ya billion 700 ..mwakani mnakuwa na trillion 9 sawa na shy
Hiyo nickel unachimba miaka 3 imekwisha wenzio tuna Billions na ni second kwa World afu unaongea pumba hapa.Huioni nickel hapo ...katafute matumizi ya nickel ujue thamani yake..Kagera ...mnajaribu kujitutumua lakini wapi
Wivu ππ.Aisee mbeya ni pabaya .check uto tujumba pembeni ya jengo..duh ...
Majengo ya maana ya mahakama na haki yanajengwa kwenye miji ya maanView attachment 2394842View attachment 2394843View attachment 2394844