The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Mbeya πMbeya ndio jiji pekee lisilo na shopping center ...hapa ni manispaa ya ilemelaView attachment 2393154View attachment 2393155
Eden Highland Hotel πNipostie hotel za nyota 3+ mbeya
The Golden pigeon hotelView attachment 2394105View attachment 2394106
Mwanza nzima ukikuta Jengo kama hili la Bima ya Afya nitag πKahama ,,,NSSF wame invest kuliko mbeya ...tuletee institution investment kama hii hapo mbeyanot even PSSSF tried to inject their fund in poor and shabby town like mbeyaView attachment 2394109
Eden Highland Hotel
Aisee mnatia huruma ..hako ndio kajengo kenu kazuri kuliko twoteMwanza nzima ukikuta Jengo kama hili la Bima ya Afya nitag
Mwanza nzima tafuta majengo kama haya πAisee mnatia huruma ..hako ndio kajengo kenu kazuri kuliko twotevipi tuwaazime hili ..mbeya ukiniletea high storey street kama hii niitag nileft humu
CBD ya mbeya ni ya kuokoteza huwez ikuta Iko proper namna hiiView attachment 2394123View attachment 2394127
Mdope Hotel Mbeya πKingdom hotel .Ghana View attachment 2394107
Mwanza nzima tafuta majengo kama haya
Hii mwanza ni kama ki apartment sio hotel ....maybe lodge tu kama zilizopo pale nyakato ...ni aibu Kwa jiji kuwa na hotel za kishamba namna hyo .Mdope Hotel Mbeya
hii ,,,saw na gas ya mtwara.. beneficiary ni dar na pwani ....the same applies to thisHaya Sasa kunazidi kucha mtarajie kuona GDP ya mkoa wa njombe ikipanda kwa kasi maana chuma kwa Sasa ndo kipo sokon na viwanda vitajengwa vya kuzidi
View attachment 2394158
Endelea kujidanganya watu tayar wameanza kujenga Hadi viwanda vya bidhaa za chuma ndani ya mkoa wa njombe afu unasema ita benefit pwanihii ,,,saw na gas ya mtwara.. beneficiary ni dar na pwani ....the same applies to this