Kahama VS Njombe/Mafinga

hiyo ndo makambako mzee wivu wa Nini ulikuwa unaongelea mji ambao huu ujui umepigwa Cha mbavu unasikilizia maumivu sijui ya wap
Sasa hayo mabanda ni mji ..aisee pole sana

Miradi mikubwa kama hii huwezi ikuta Kwa misitu ya nyumba nitu
 
Ujenzi DIT phase one umeanza .....maji mtayaita mmaView attachment 2388692
Mbeya ni Mwalimu wa Mwanza kwenye education facilities,yaani huko kwenye Technical colleague tumevuka tuna University of Science and Technology na tunatengeneza hadi drones..

On other side ,Ujenzi wa Lecture Theater of ADEM Mbeya Centre πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221016_090423_622.jpg
    1.3 MB · Views: 5
  • IMG_20221016_090013_638.jpg
    1.1 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_085945_937.jpg
    1.1 MB · Views: 7
Hii ndio green city tunayoambiwa Kila siku ..aisee kumekauka vibaya mno ...
angalieni majiji ya wenzenu yanavyovutiaView attachment 2388691
Unaleta picha za masika na zenye filter,leta picha live tuone..

Sweet Green City Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221016-105023.png
    215.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221016-105038.png
    242.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221016-105257.png
    272.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221016-105436.png
    287.3 KB · Views: 7
Nitembee wapi ,,,,kusini eneo zuri ni iringa tu . kwingine ni trash
Iringa iko Kanda ya Ziwa? 😬😬..

Eneo zuri ni Iringa tuu heeee heee..

Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221016_112558_552.jpg
    1.3 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_112515_282.jpg
    1.2 MB · Views: 6
  • IMG_20221016_112044_677.jpg
    1.1 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_112010_546.jpg
    1.3 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_114448_083.jpg
    1.3 MB · Views: 8
  • IMG_20221016_114327_077.jpg
    1.7 MB · Views: 8
Race ya Vyuo inaendelea Mbeya..

Ujenzi wa Lecture Theater na Computer Lab for Catholic University College of Mbeya at Forest ares Mbeya City ukiendelea
Yaan kuna vumbi sana huko...

Hebu Tazama hali ya Bukoba ulinganishe na huko mavumbini mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…