Kahama VS Njombe/Mafinga

Veta kagera Bukoba....

Na hapo ujenzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam tawi la Bukoba umeanza...View attachment 2386093

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Uko wapi huo ujenzi? Aisee haka kachuo kamekutoa maudenda sana khaa..

Mikoa mingine ina veta miaka mingi tena zenye hadhi ya Kanda kama Vile Veta Mbeya kinafundisha hadi walimu wa kuja kufundisha hapo Veta yenu mpya.
 
Bora hata barabara, ona hiki kituko cha njombe
. Misenyi iko too far ukilinganisha na wilaya za huko kusini
 
Uko wapi huo ujenzi? Aisee haka kachuo kamekutoa maudenda sana khaa..

Mikoa mingine ina veta miaka mingi tena zenye hadhi ya Kanda kama Vile Veta Mbeya kinafundisha hadi walimu wa kuja kufundisha hapo Veta yenu mpya.
Hebu Tazama hio view na background ya ziwa kwa nyuma...Bukoba ni pazuri sana...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Uko wapi huo ujenzi? Aisee haka kachuo kamekutoa maudenda sana khaa..

Mikoa mingine ina veta miaka mingi tena zenye hadhi ya Kanda kama Vile Veta Mbeya kinafundisha hadi walimu wa kuja kufundisha hapo Veta yenu mpya.
Kwa akili zako unafikiri Kagera hapakuwa na VETA ya mkoa? Hiini VETA ya mfano Tanzania ndo maana waziri wa elimu wakati anahutubia amesema anaomba ijengwe VETA ya namna hii kila mkoa
 
Kwa akili zako unafikiri Kagera hapakuwa na VETA ya mkoa? Hiini VETA ya mfano Tanzania ndo maana waziri wa elimu wakati anahutubia amesema anaomba ijengwe VETA ya namna hii kila mkoa
Ni mjinga na hajielewi huyo Waziri..

Veta kubwa kama Chang'ombe,Mbeya,Songea,Dakawa,Dodoma, Shinyanga,Moshi ni Veta kubwa na zinatoa huduma mbalimbali pia..

Mfano Veta Mbeya Inatoa hadi huduma za consultancy na hata Leo hii wakitangaza uchague kusoma Veta hiyo yenu mpya na Mbeya wengi wataenda Mbeya Kwa sababu ina well equipment..

Kuna VETA Rukwa inajengwa Wala Haina Ramani kama hiyo ila iko poa sana tuu,nikipata current photos nitaziweka..

Hakuna sababu za kutokuwa maudenda yasiyo na msingi.
 
Mapicha picha ya mashule sijui wanawake na maduka haviwezi kuondoa Umaskini Kagera..

Endeleeni kufanya mzaha wenzenu tuko na miradi serious..

Rukwa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221014-201316.png
    155.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221014-201351.png
    146.7 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221014-212447.png
    246.6 KB · Views: 11
Tunduma ina sehemu 2 za kuongizea magari na kuvushia waenda kwa miguu yaani traffic light πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221015_135155_331.jpg
    722 KB · Views: 10
Watu wa Kanda ya Ziwa Kusini kumenoga Sana..

Baadhi ya majengo ya ghorofa Mjini Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221015_082500_143.jpg
    1.1 MB · Views: 11
  • IMG_20221015_082130_351.jpg
    1.2 MB · Views: 8
  • IMG_20221015_081421_862.jpg
    1.2 MB · Views: 10
  • IMG_20221015_081450_452.jpg
    1.2 MB · Views: 8
  • IMG_20221015_071431_038.jpg
    1.3 MB · Views: 8
  • IMG_20221015_071403_114.jpg
    1.4 MB · Views: 7
  • IMG_20221015_070155_048.jpg
    1.5 MB · Views: 6
  • IMG_20221015_070029_378.jpg
    954.5 KB · Views: 7
  • IMG_20221015_062826_706.jpg
    1.2 MB · Views: 8
  • IMG_20221015_062825_729.jpg
    1.1 MB · Views: 7
Tunduma inakanyaga takataka zote za Lake Zone kasoro Mwanza..

More of Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221015_083448_845.jpg
    1.1 MB · Views: 6
  • IMG_20221015_083339_149.jpg
    949.1 KB · Views: 8
  • IMG_20221015_082953_049.jpg
    1.1 MB · Views: 9
  • IMG_20221015_082934_183.jpg
    1 MB · Views: 9
  • IMG_20221015_080850_259.jpg
    979.7 KB · Views: 8
  • IMG_20221015_080744_745.jpg
    750.6 KB · Views: 5
  • IMG_20221015_081730_244.jpg
    1,007.7 KB · Views: 5
Hii ndio maana ya kuwa border ya Wajanja Tanzania nzima..

Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221015_073825_016.jpg
    809.4 KB · Views: 8
  • IMG_20221015_073811_766.jpg
    783.6 KB · Views: 11
  • IMG_20221015_073451_925.jpg
    778.9 KB · Views: 9
  • IMG_20221015_073416_209.jpg
    1,001 KB · Views: 6
  • IMG_20221015_080804_070.jpg
    1.6 MB · Views: 8
  • IMG_20221015_171442_294.jpg
    1.4 MB · Views: 4
Mbeya inakuja kwa Kasi ya 5G.

At night πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221015_185423_504.jpg
    693.7 KB · Views: 7
  • IMG_20221015_185225_679.jpg
    624.3 KB · Views: 9
  • IMG_20221015_185035_849.jpg
    636.4 KB · Views: 6
  • IMG_20221015_193031_398.jpg
    697.8 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…