The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Umeanza kuongea upuuzi,swala la ndege ya mizigo kuweka hub KIA linazuia vipi uwanja wa Songwe kutumika?Unachekesha sanaaa, tayari ndege mpya ya mizigo B767 Frighter kituo chake kikuu itakuwa ni KIA kwa mujibu wa wazara ya miundo mbinu na usafirishaji, yaani huko msubiri mpaka sugu awe Raisi.
Uwanja maalumu wa ndege za mizigo ndio nini????? 😛 😛 😛 😛 😛 wakti ndege ya Taifa ya mizigo hub yake KIA???? Unachekeshaaaa saananaaaaaa yaaaani. Kawadanganye mapopoma wenzako huko UbarukuUmeanza kuongea upuuzi,swala la ndege ya mizigo kuweka hub KIA linazuia vipi uwanja wa Songwe kutumika?
Uwanja Haujakamikika na Wala haujawa certified kwa ndege za Kimataifa afu unaongea pumba,mda ukifika itakuwa hivyo..
Mbeya ina GDP ya 3 Kwa Tanzania ni obvious itakuwa busy tuu siku za usoni.
Naona unapost Biharamulo ambayo ndo wilaya maskini kuliko zote mkoani Kagera...Yaani hii ndio barabara watu wa Kagera wanafanya sherehe licha ya kupauka na kujaa mavumbi hivyo?..
Nimeamini Kusini Kumetengwa..
Barabra ya Biharamulo vs Nanyumbu
Nshomile mmoja...kajisomea na kadegree kake..kaoa..ana kausafiri...na kajenga nyumba yake Safi huko bukoba vijijini...hata kama aishi lakin mama yake yupo na kamuwekea solar incase umeme ukikatika...Yaani hii ndio barabara watu wa Kagera wanafanya sherehe licha ya kupauka na kujaa mavumbi hivyo?..
Nimeamini Kusini Kumetengwa..
Barabra ya Biharamulo vs Nanyumbu
Watu wako msibani huko bukoba vijijini....Yaani hii ndio barabara watu wa Kagera wanafanya sherehe licha ya kupauka na kujaa mavumbi hivyo?..
Nimeamini Kusini Kumetengwa..
Barabra ya Biharamulo vs Nanyumbu
Maelezo mengi ,,Huwa ni uchafu na sio point...... mwanza imekuwa ikipokea ndege za freight kwenda brussel na Amsterdam...Wala hatuongei ...Pole Sana..Unataka international flight kabla ya kukidhi vigezo na kupata certification zinazotakiwa?
Songwe International Airport imekuwa ikididimizwa miaka mingi toka Alivyoondoka Mwandosya..
Kwa sasa tunategemea ipewe clearance ya ndege za Kimataifa baada ya kufungwa taa ,rader,kuletwa vifaa vya Zima moto na uokozi,kukamilishwa kwa njia za kurukia ndege nk..
Na kwa taarifa yako huu utakuwa uwanja maalumu kwa ajili ya ndege za mizigo so just wait mda utasema.
Kuwa ya 3 GDP haimaanishi mnaweza kuwa na strategic infrastructure zote ..hata shinyanga ni ya 4 bas nayo ijenngewe international airportUmeanza kuongea upuuzi,swala la ndege ya mizigo kuweka hub KIA linazuia vipi uwanja wa Songwe kutumika?
Uwanja Haujakamikika na Wala haujawa certified kwa ndege za Kimataifa afu unaongea pumba,mda ukifika itakuwa hivyo..
Mbeya ina GDP ya 3 Kwa Tanzania ni obvious itakuwa busy tuu siku za usoni.
Toa utoto wako,hiyo Shinyanga iko namba 4 ni kwa sababu ndani kuna Simiyu..Kuwa ya 3 GDP haimaanishi mnaweza kuwa na strategic infrastructure zote ..hata shinyanga ni ya 4 bas nayo ijenngewe international airport
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Naona mavumbi mekundu tuu hapo 😁😁..Watu wako msibani huko bukoba vijijini....
Hebu tazama mandhari na ubora wa makazi kwenye mkoa huu serikali inayouona maskiniView attachment 2381294
Unapozungumzia madini .hujaitaja Kanda ya ziwa ni kama unachekesha aisee ...Toa utoto wako,hiyo Shinyanga iko namba 4 ni kwa sababu ndani kuna Simiyu..
Hata figure ya Mwanza sio sahihi kwa sababu Kuna mojawapo ya Wilaya ya Simiyu imehesabiwa upande wa Mwanza..
Baada ya Break through Top 10 kwa Kanda ya Ziwa kutakuwa na Mwanza na Geita tuu..
So starategic infrastructure zitakuja tuu kwa sababu tuna kila aina ya fursa,subiria migodi mikubwa ya Songwe na Rukwa ianze kutema madini.
Kwa sasa madini tuu ndio yanawaweka kwenye chat watu wa Lake zone but tuendako mtapitwa na Nyanda za Juu Kusini kwa sababu ya migodi mikubwa ya niobium,helium,rare Earth's na hizo hizo dhahabu once ikiwa materialised..Unapozungumzia madini .hujaitaja Kanda ya ziwa ni kama unachekesha aisee ...
Shinyanga GDP yke ipo kahama asilimia 60 ya uchumi wake ,...hata ukiitoa simiyu still itakuwa top 5 ....top ten itazidi kuwa mwanza , shinyanga,Geita,Mara na Kagera (mgodi wa nickel kabanga ulikamilika)
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ungejua madini mwanza . mchango wake kwenye ni GDP ni asilimia 7 tu .. mwanza ni diversity economic zone ...kilimo,uvuvi,madini,biashara, usafirishaji na huduma .ndio sababu kubwa ya GDP kubwa..na sio madini tu the same applies to GEITA and shinyangaKwa sasa madini tuu ndio yanawaweka kwenye chat watu wa Lake zone but tuendako mtapitwa na Nyanda za Juu Kusini kwa sababu ya migodi mikubwa ya niobium,helium,rare Earth's na hizo hizo dhahabu once ikiwa materialised..
Kwa sasa madini ya makaa ya Mawe na dhahabu kidogo ndio yanazalishwa ila miaka michache ijayo mtaomba poo..
Parameters zote zina meet hakuna E Coli... we unajifurahusha tu...Wakati Mwanza mkinywa maji yenye Kanda,vinyesi vya Binadamu na wanyama sie huku Rukwa ni uhakika
Wilaya gani...?!Toa utoto wako,hiyo Shinyanga iko namba 4 ni kwa sababu ndani kuna Simiyu..
Hata figure ya Mwanza sio sahihi kwa sababu Kuna mojawapo ya Wilaya ya Simiyu imehesabiwa upande wa Mwanza..
Baada ya Break through Top 10 kwa Kanda ya Ziwa kutakuwa na Mwanza na Geita tuu..
So starategic infrastructure zitakuja tuu kwa sababu tuna kila aina ya fursa,subiria migodi mikubwa ya Songwe na Rukwa ianze kutema madini.
Acha porojo wewe,pale Geita ukitoa GGM hakuna kitu pale..Ungejua madini mwanza . mchango wake kwenye ni GDP ni asilimia 7 tu .. mwanza ni diversity economic zone ...kilimo,uvuvi,madini,biashara, usafirishaji na huduma .ndio sababu kubwa ya GDP kubwa..na sio madini tu the same applies to GEITA and shinyanga
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Busega
Kahama mlisema Buzwagi ikifa hakuna kitu, lakini ni zaidi ya miaka miwili na mapato Kahama yanaongezeka tu. HATUWASHANGAI HATERS.Acha porojo wewe,pale Geita ukitoa GGM hakuna kitu pale..
Hapo Mwanza hata pawe diversified kiasi Gani ila ukweli ni kwamba huko tuendako mtakalishwa tuu..
Mwanza na Kilimo wapi na wapi na eneo mnalo dogo? Misitu hamna,madini ni dhahabu tuu hapo Sengerema..
Fanyeni ku enjoy saizi ila nitahesabu Miaka 20 kuanzia 2026 nione kama Mwanza na Lake Zone yote hamfunikwi na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini by 2045.
Uko sahihi ila angalia Kahama imekuwa na mapato ya bil.4 na Sasa 9 kwa miaka mingi Sana sawa na Mafinga TC..Mapato yanakua ila kwa Kasi ya kawaida.Kahama mlisema Buzwagi ikifa hakuna kitu, lakini ni zaidi ya miaka miwili na mapato Kahama yanaongezeka tu. HATUWASHANGAI HATERS.
Mbeya 👇
Labda kisiasa ila kiuchumi big No.Population,,,,kubwa inaipa Kanda hii influence kubwa kisiasa na kiuchumiView attachment 2381249
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app