Kahama VS Njombe/Mafinga

Ilemela imekula doble digit na stand ndio imeanza, yaani quarter ijayo ni b12


Kahama anafuza b10


Halafu huu uzi unaendelea wakati Boss anajulikana tayari
 

Attachments

  • 1664815588644.png
    7 KB · Views: 20
Mabus ya mwanza to dar .. nyegezi stendi ya nyabulogoya....wakati wa usiku ....
Stendi inajaa .
Mbeya huwezi Kuta Pako hvj

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mbeya kumetengwa 😁😁.

Wakati airport ya Mwanza ikijengwa chini ya kiwango,Songwe airport inazidi kupata hadhi stahikiπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221003-214023.png
    136.9 KB · Views: 17
Tuna kampuni zaidi ya 27 kutoka Mbeya to Dar kila siku zaidi ya Mwanza..

Mbeya ndio inaongoza Kwa kuwa na kampuni nyingi Tanzania.

Hatuna Stand ya kurundika mabusi yote pale stand Kuu.
Hamna kitu hapo [emoji116][emoji116][emoji116] nyegezi terminal shopping complex [emoji33][emoji33][emoji27] maumivu ni makali mno kkwa wanapaluhengo [emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20221005-195636.png
    168.4 KB · Views: 14
Msururu wa miradi inayoenda kutekelezwa na Tamisemi jijini Mbeya,stand mpya 2 ni miongoni πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221005-195541.png
    177.3 KB · Views: 18
  • Screenshot_20221005-195604.png
    48.8 KB · Views: 17
Mapicha ya hovyo afu unaweka jukwani bila hata aibu..

Sio kosa lako bali una shida ya udumavu [emoji13][emoji13].

Geita [emoji116]
[emoji16][emoji16]maumivu yanapofika kichwani humfanya mtu aongee nonsense ..
[emoji116]Tulia dozi ifike tumboni[emoji16][emoji116] endelea kuugulia maumivu ..


Mwanza first terminal ongoing construction..wakati TAA wakiandaa ujenzi wa terminal 2 ...[emoji91][emoji91][emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…