The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Mtapata wivu mkikuta Mbeya inaongoza Kwa per Capita ππ,so unajua kule kwingine madini anakula mzungu afu nyie mnahesabu namba tuu ππNi jambo jema serikali iwekeze maeneo kwa ajili ya kilimo, nyie limeni hayo mazao yatanufaisha watanzania wote, hapo tuone wivu kwa kipi?
Acha ukichaa, Chunya ipi hiyo...?!Hapa watapita kimya kimya wakijifanya hawaoni [emoji16][emoji16].
Chunya [emoji116]
Wewe huwa hueleweki
Niletee Takwimu za Simiyu ndio tujadili hoja.[mention]The Sunk Cost Fallacy [/mention] umesikia huko mwanza, geita, shinyanga wameipiga gap njombe, halafu kahama taa wanazo miaka mingi
Ni Pazuri kuzidi Mbeya...Iringa MC,small but cute [emoji116]
Sawa
Kahama imekuwa Town Council yenye taa kabla haijawa Municipal, wacha kudanganya watu hapa JfNjombe inazidi kunoga..[emoji106][emoji106]
Town Council pekee yenye Mataa ya kuongizea magari [emoji116]
Ahahaaaa kumbe Tamisemi wamemwaga ugali na mbaya zaidi Mboga imemwagiwa lake zone ndio maana jamaa quarter hii hajataka kuzungumzia mapato [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][mention]The Sunk Cost Fallacy [/mention] umesikia huko mwanza, geita, shinyanga wameipiga gap njombe, halafu kahama taa wanazo miaka mingi
Chato ni takatakaHalafu tuna District council huku lake zone huu mwaka wa 15 ina traffic light [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
kulinganisha na wapi? usije kuwa unailinganisha na new york.Chato ni takataka
kulinganisha na wapi? usije kuwa unailinganisha na new york.
Na Igawa tuu pale.kulinganisha na wapi? usije kuwa unailinganisha na new york.
kulinganisha na wapi? usije kuwa unailinganisha na new york.