Hahaha we jamaa ndo maana tunasema umejifungia tembea uone watu wanajenga nyumba mzee vijiji hizo saiz kwa njombe Ni Hali ya kawaida Sana Tena sanaKumbuka hapo ni vijijini interior kabisa mzee....acha kutaja visenta center ....namaanisha kijijini...
Kwa Tanzania hii sehemu zenye vijiji vilivyo na nyumba kali na nzr ni kagera na Kilimanjaro na kidogoo kwa wanyakyusa huko mbeya...
Sehemu nyingine ukitoa centres huko pengine hali ni tete...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hahaha we jamaa hizo ndizi nyanda za juu kusin hazijawai kuja tunazozipata huku zinatoka mbeya tukuyu lupembe njombe na songeaMigomba imekuwa vichaka sio...
Huo ndo utamaduni wa watu...wanaishi kwenye vivuli...
Hivyo unvyoita vichaka ndo vinatoa ndizi zilizozagaa tz nzima maarufu kama ndizi Bukoba....ambazo huwezi maliza week bila kuzionja..
NB.75 YA NDIZI ZOTE NCHINI ZINATOKA KAGERA
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Picha ziko wap...Hahaha we jamaa ndo maana tunasema umejifungia tembea uone watu wanajenga nyumba mzee vijiji hizo saiz kwa njombe Ni Hali ya kawaida Sana Tena sana
Sasa unabisha takwimu za serikali ama?Hahaha we jamaa hizo ndizi nyanda za juu kusin hazijawai kuja tunazozipata huku zinatoka mbeya tukuyu lupembe njombe na songea
ππππ Kwenu Halisi kunafanana hivi Sasa na hizi ndio nyumba zenu πSasa unabisha takwimu za serikali ama?
Njombe ya wapi hiyo? Kwa hiyo nyie hizi nyumba hapa ndio mumejenga Vijijini huko Misenyi? ππππPicha ziko wap...
Tena katika mikoa ambayo wazawa wake hawajengi vijiji vyao ni njombe...
Hao wakinga...huku mjini wana hela ila kwao wanaogopa kurogwa
Ilula iringaBarabara kama hizi zinapatikana Nyanda za Juu Kusini tuu kwa hapa Tanzania
Iringa iko Lake zone au? π¬π¬π¬π¬Ilula iringa
Naona huna content sa hv ..unarudia rudia mapicha picha ya mabus ..Naona ABC Upper Class ameamua kuteka Soko la Nyanda za Juu Kusini..
Dar-Mbeya,
Dar-Njombe,
Dar-Iringa
Umeanza excuses ππππ.Naona huna content sa hv ..unarudia rudia mapicha picha ya mabus ...nikukumbushe huku tuna miradi ya kuvunja record kimataifa...mradi mmoja ni sawa na vimiradi vyote vya mikoa yote ya kusini huku
The multibilion mega project... billion 700 ziko hapawivu ukuume Hadi ufe dadekView attachment 2366718View attachment 2366719
Kampuni zaidi za Mbeya-Dar.
Hauna facts za kuprove Hilo .... Mwanza ni jiji kubwa na linaongoza Kwa route za safari Kwa njia zote isipokuwa treni nishakutajia mabus ya mwanza yako zaidi ya kampuni 20 ,,, Zinafanya safari Kila sikuUmeanza excuses.
Nilisema kwamba Mbeya ina kampuni nyingi zaidi za mabasi za Dar kuzidi Mwanza na tumechapa..
Nikasema tena Njombe ina kampuni nyingi zaidi za mabusi ya Dar Nako tumewachapa..
Wewe bwege kweli,nili prove kwa kutoa Orodha ya kampuni na picha,mkaanza kulia lia..Hauna facts za kuprove Hilo .... Mwanza ni jiji kubwa na linaongoza Kwa route za safari Kwa njia zote isipokuwa treni nishakutajia mabus ya mwanza yako zaidi ya kampuni 20 ,,, Zinafanya safari Kila siku
Abood
Nyehunge
Alys
Phoenix
Zuberi & kisesa
Fresters
Tanzanite
Kvc safaris
Kibo
Super najmunisa
Kandahar
Tung's
travels
Happy national
Isamilo
Premier line
Fikoshi
Satco
Princes shabah
Bright line
N.k