Unafikiri kuna mtu wa Bukoba atapanda gari mbovu mbovuHuko mtaletewa magarasa,mpya zitaenda Njombe route fupi,huwa hataki shida..
Anakimbia SGR Effect ila angekuwa na akili angeweka route ya Mbeya-Kahama,Mbeya-Musoma via Lamadi na Sumbawanga to Dodoma..
SGR italeta mabus mapya mengi Sana Mkoani.
Hawa sidhani kama uwa wanabrash viatuHii ndo green city tunayoambiwa Kila siku..si bora hata singida Pako green...mji ni vumbi uswahili mtupu ...
Aisee mbeya mna suburbs mbaya kuliko majiji yote ...
MbaliziView attachment 2359866View attachment 2359867View attachment 2359868View attachment 2359870
Mbeya Kuna mtaa gani mzuri ,zaidi ya vumbi tu .leta hapa tuone .nimekuletea hyo poda hapo..mbaliziKwa hiyo umechagua pale pabaya unapopenda wewe Ili kuja kuwadanganya mazuzu wenzio si ndio?..
Kwa nini usiende kupiga picha Tazara au VETA Ikulu nk?
Kama hutojali tuletee na picha za mabatini Mwanza
Hawa sidhani kama uwa wanabrash viatu
Nyie si ndio mnasema ,mbeya inaanzia uyole hadi mbaliziMkuu wewe ni mwenyeji wa wapi? Una uhakika kuwa mbalizi ni mbeya mjini?
Mbalizi ni mbali Sana huko,shida picha za Mbeya nyingi haziko kwenye mtandao but nitakuja na picha za live..Mbeya Kuna mtaa gani mzuri ,zaidi ya vumbi tu .leta hapa tuone .nimekuletea hyo poda hapo..mbaliziau leo utasema mbalizi sio mbeya h
Usidhani mbeya hatuijui ..pale uyole ndo takataka kabisa ..Mbalizi ni mbali Sana huko,shida picha za Mbeya nyingi haziko kwenye mtandao but nitakuja na picha za live..
Sio mtaa Bali Kuna mitaa..Uyole nzima ile haina slums kama ilivyo Mbalizi..
Ilemi iko vizuri,Tazara iko vizuri,Iwambi iko vizuri,Uzunguni,Forest mpya,forest ya Zamani,Block T,Na eneo loote kuelekea TEKU hakuna uswahili na pote ni Mjini hapo..
Tuwekee basi hizo takataka kama za uswazi wa MwanzaUsidhani mbeya hatuijui ..pale uyole ndo takataka kabisa ..
Acha kulinganisha mwanza na makopo ya chooniTuwekee basi hizo takataka kama za uswazi wa Mwanza
Watu wa mbeya akili zipo matakoni ..hapa ndipo unapaona ndio wealthy planned yenu ...aisee mtafika mbingunj mkiwa hoiTuwekee basi hizo takataka kama za uswazi wa Mwanza
Ahsantee kwa maoni yakoFursa zilizopo ni zile zile kama za Mafinga ila kilichoongezeka huku ni biashara ya mpakani na biashara zinazohusiana na transit kama migahawa,malazi na maduka makubwa ya jumla ya kuwauzia watu wa Zambia...
Pia Tunduma ni Mji mpya Kwa maana ya kwamba Halmashauri ya Mji imeanza mwaka 2010 tofauti na Mafinga ni ya Kitambo so huduma za shule za binafsi nk Bado zina soko..
Hakuna aliyesema mbalizi sio mbeya,hata chunya pia ni mbeya,swali ni je mbalizi ni sehemu ya mbeya mjini? Au nikuulize unapozungumzia mbeya mjini mipaka yake ni ipi kuelekea tunduma,uyole na chunyaMbeya Kuna mtaa gani mzuri ,zaidi ya vumbi tu .leta hapa tuone .nimekuletea hyo poda hapo..mbaliziau leo utasema mbalizi sio mbeya h
Kauli zako za matusi tu zinatosha kuonyesh wewe ni mtu usiyejitambua,labda nikusaidie kitu cha nyongeza,wilaya zote za mbeya zinajiweza kiuchumi hali inayopelekea uwekezaji kutawanyika maeneo tofauti,kwa lugha nyepesi tofauti ya mbeya jijin na wilaya zake sio kubwa,hili swala sizan kama lipo kwa mwanza kama unabisha pitia takwimu za mapatoWatu wa mbeya akili zipo matakoni ..hapa ndipo unapaona ndio wealthy planned yenu ...aisee mtafika mbingunj mkiwa hoi
Uyole baby.. uswahili mtupu .kidogo kauwanja kameokoa mandhariView attachment 2360049View attachment 2360050
Leo unasema mbalizi sio mbeya mjini ,Hakuna aliyesema mbalizi sio mbeya,hata chunya pia ni mbeya,swali ni je mbalizi ni sehemu ya mbeya mjini? Au nikuulize unapozungumzia mbeya mjini mipaka yake ni ipi kuelekea tunduma,uyole na chunya
Ungeleta figure,ningekuona wa maana...Kwa mapato yapi mmeipita mwanza maybeKauli zako za matusi tu zinatosha kuonyesh wewe ni mtu usiyejitambua,labda nikusaidie kitu cha nyongeza,wilaya zote za mbeya zinajiweza kiuchumi hali inayopelekea uwekezaji kutawanyika maeneo tofauti,kwa lugha nyepesi tofauti ya mbeya jijin na wilaya zake sio kubwa,hili swala sizan kama lipo kwa mwanza kama unabisha pitia takwimu za mapato
Maji ya maiti yamewasababishia mtindio wa ubongo,wasamehe bure sio wao ni Kansa πKauli zako za matusi tu zinatosha kuonyesh wewe ni mtu usiyejitambua,labda nikusaidie kitu cha nyongeza,wilaya zote za mbeya zinajiweza kiuchumi hali inayopelekea uwekezaji kutawanyika maeneo tofauti,kwa lugha nyepesi tofauti ya mbeya jijin na wilaya zake sio kubwa,hili swala sizan kama lipo kwa mwanza kama unabisha pitia takwimu za mapato
Lini Mbalizi ni Mbeya Mjini? Usagara au Kisesa ni Mwanza Mjini?Leo unasema mbalizi sio mbeya mjini ,...nyie si mnasema mbeya ni kubwa inaanzia uyole hadi mbalizi... nimekuletea hata mitaa ya mbeya mjini hapo juu ni hovyo tu hamna unafuu