Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwalimu thiso πŸ™πŸ™.

Njombe-Dom πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220915-122829.png
    240.8 KB · Views: 17
Abood hiyooo na chuma mpya na route Mpya..Kahama hakuna wateja πŸ˜†πŸ˜†

Dar-Moro-Njombe.

Dar-Moro-BKπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220916-123909.png
    148.2 KB · Views: 16
Soon route Mpya inazinduliwa,chuma kali za Royal Luxury.

Dar-Mbeya-Lusaka πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220916-125009.png
    125.4 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220916-123713.png
    148.8 KB · Views: 16
Abood ameamua apeleke bus zake Bukoba?

Hasilete chakavu chakavu kama zile zake za mwanza...

Halafu ukisikia bus ya bukoba hujue zitapita kahama tu..
Huko mtaletewa magarasa,mpya zitaenda Njombe route fupi,huwa hataki shida..

Anakimbia SGR Effect ila angekuwa na akili angeweka route ya Mbeya-Kahama,Mbeya-Musoma via Lamadi na Sumbawanga to Dodoma..

SGR italeta mabus mapya mengi Sana Mkoani.
 
Hii ndo green city tunayoambiwa Kila siku
..si bora hata singida Pako green...mji ni vumbi uswahili mtupu ...
Aisee mbeya mna suburbs mbaya kuliko majiji yote ...
Mbalizi
 
Kwa hiyo umechagua pale pabaya unapopenda wewe Ili kuja kuwadanganya mazuzu wenzio si ndio? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..

Kwa nini usiende kupiga picha Tazara au VETA Ikulu nk?

Kama hutojali tuletee na picha za mabatini Mwanza 😝😝
 
Kama hutojali naomba unipe sababu mkuu kuna namna zitanisaidia,yani fursa gani unaziona tunduma dhidi ya mafinga
Fursa zilizopo ni zile zile kama za Mafinga ila kilichoongezeka huku ni biashara ya mpakani na biashara zinazohusiana na transit kama migahawa,malazi na maduka makubwa ya jumla ya kuwauzia watu wa Zambia...

Pia Tunduma ni Mji mpya Kwa maana ya kwamba Halmashauri ya Mji imeanza mwaka 2010 tofauti na Mafinga ni ya Kitambo so huduma za shule za binafsi nk Bado zina soko..
 
Njombe itaendelea kuwa strategic Region kwa Tanzania..

Maelfu ya ekari za Block farming in Njombe πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20220917_090527.jpg
    103 KB · Views: 20
Kusini kuna mavumbi, Serikali imekutenga 😁😁😁😁..

Rukwa-Ujenzi wa barabara ukiendelea,hii inaenda mpakani na Zambia πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20220917_125932_315.jpg
    1.2 MB · Views: 21
  • IMG_20220917_130005_781.jpg
    1.2 MB · Views: 16
  • IMG_20220917_125942_512.jpg
    1 MB · Views: 19
  • IMG_20220917_131136_667.jpg
    1 MB · Views: 17
  • IMG_20220917_130121_918.jpg
    1.2 MB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…