Kahama VS Njombe/Mafinga

Kusini kumetengwa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

VP ndani ya Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220911-173300.png
    108.5 KB · Views: 12
  • 20220911_173215.jpg
    94.1 KB · Views: 14
  • 20220911_173211.jpg
    74.2 KB · Views: 12
Tunakuja vyema kwenye sekta ya Marine..

Gati jipya Nyasa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220911-172157.png
    102.4 KB · Views: 11
Naona jina la kihaya hapo...ni mhaya wa wap huyo jamaa..

Wahaya wanapenda kuwekeza mikoani kuliko kwao...kama yule bijampola
kumbe jamaa ni mhaya .ni mfanyabiashara mkubwa hapa kahama anayopharmacy Moja mega ..inaitwa bakungile pharmacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…