Usilinganishe kaitaba na viwanja vyenu vya ajabu ajabuMkeka ndio nyasi bandia au? Acha lugha za kihuni..
Nyasi bandia zinawekwa kasoro taa
Unatapa tapa Sana dingi ππ.Usilinganishe kaitaba na viwanja vyenu vya ajabu ajabu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Na wameaibika kweli kweli πJamaa kawachana
Hamna point hapoJamaa kawachana
Ukweli nyie mnalala Hadi saa tatu mnaongea viingereza wakati hata watoto wa nursery wanaongea kiingereza.Chapeni kaziHamna point hapo
Huyo hana point maana akikosaga cha kuongea huwa anaongea chochote hakuna asiemjuaUkweli nyie mnalala Hadi saa tatu mnaongea viingereza wakati hata watoto wa nursery wanaongea kiingereza.Chapeni kazi
Momba-DC& DED Office Construction πKatoro townView attachment 2344460
Haha ndo mnazinduka Leo huku yapo Hadi makete huko Tena makubwa zaidi ya hayoUwekezaji wa maduka .ya kisasa , geitA View attachment 2344453
Residential house construction in Swax town Kiboko ya Bukoba
Ndio excuses mliyobakiwa nayo ππ