Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya moja πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220830-072312.png
    133.3 KB · Views: 10
  • 20220830_072251.jpg
    45.4 KB · Views: 9
High Class Hotel Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • clasic+tunduma.jpg
    64.6 KB · Views: 9
  • dsc02652.jpg
    1.1 MB · Views: 9
Utajua mwenyewe ila Mwanza ni hovyo ndio maana inatuaibisha kuitwa second City kwa Tanzania..

Jiji la pili linazidiwa na Arusha na Dom? Hovyo kabisa huko.
We jamaa ,,hujisomi Kwa nani anayetoa second city Status ..zaidi ya vigezo na ubora wa mji ...kaa ukijua mwanza ni second city Kwa vigezo na sio siasa kama ilivyopew hadhi mbeya kuwa jiji wakati hata sifa haina
 
Hiyo investment ya Gvt isiwape kiwewe kama kweli wanajiamini ebu wapanue barabara ya Kenyatta na Nyerere, wajenge barabara ya Airport-kayenze vitu vingine wawaachie wenye Mwanza yao uone kama Dodoma na Arusha zitagusa pua
Usiwaze kabisa .. kuhusu barabara tayari feasibility ishakamilika ....kuanzia 2024 maji watayaita mma
 
Kumbe uwanja wa kaitaba Bukoba unakarabatiwa na hawasemi...

Wanaongeza majukwaa, taa, na marekebisho mengine makubwa...
Hiv nyanda za juu kusini kuna uwanja hata mmoja unaoweza kufikia level za kaitaba


Hata sokoine uko unakarabatiwa na derby ya Mbeya itachezwa Sokoine..
 
Njombe TC HQ πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220902-154338.png
    123.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220902-154353.png
    101.3 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…