The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ingekuwa Bukoba wangeita Hotel ya Nshomile mmja hapo Mjini ππ.Haya mambo unayopost yanapatika muleba huko vijijini wala sio mjini..na kuna mandhari nzr kuliko hii yako ya vumbi..
Imagine huku ni vijijini huko Bukoba View attachment 2336341View attachment 2336342View attachment 2336343View attachment 2336345View attachment 2336346View attachment 2336347
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wewe Mzee bwana huwa unachelesha Sana sijui ndio uzee au Nini hasa? Hivi Chuo kujengwa na Mchina ndio inakuwa chuo Kikubwa kuliko vyote Tanzania?We kijana ni mbishi sana....
Hapo kunapojengwa chuo kikuu sio mbali na Bukoba mjini ni km kama 5...
Can't wait kuone mji wa Bukoba unapanuka kila sehemu...
Imagine Kasikazini mwa mji wa Bukoba kuna chuo cha veta kikubwa zaidi Tanzania..kimejengwa na wachina..Na huko pia kuna chuo kikuu cha JOCUCO tawi la chuo cha tumaini....
Mashariki kuna Bandari ya Bukoba ambayo nayo imepanuliwa ikisuburi meli ya Mv mwanza na sasa kuna mv Victoria,nyakibolwa nk zinafanya kazi...bado mashariki hiyo hiyo kuna uwanja wa ndege wa bukoba ambao nao unawekewa Taa ilo ndege zianze kutua usiku...
Magharibi mwa mji wa bukoba kuna ujenzi wa stendi ya mkoa kyakairabwa na huko ndo kumekucha sasa maana kuna mji mpya wa Rwamishenye unaokua kwa kasi..
Kusini mwa mji wa Bukoba ndo kuna ujenzi wa chuo kikuu UDSM na bado kuna Tawi la Chuo kikuu cha Sauti CARUMCO na sasa kunajengwa maegesho makubwa sana ya maroli...
Hio Bukoba achaneni nayo tu...mji una future kali sana..
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ila huko kuna vumbi sana walaiIngekuwa Bukoba wangeita Hotel ya Nshomile mmja hapo Mjini.
Ila kwa Sumbawanga hili ni bweni la shule inayomilikiwa na RC chini ya shirika lao la Wabenedictine wa Mvimwa
Fanya hima mpande miti..mji wenu una vumbi sana...More PCs of Sumbawanga
Saizi ni kiangazi hata kuwe na miti itapukutisha majaniFanya hima mpande miti..mji wenu una vumbi sana...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
We boya kweli kuna Mji gani hapa Tanzania ambao una lami kila mtaa?..Kwamba unashangaa Vumbi Tanzania?Ila huko kuna vumbi sana walai
Umenikumbusha kakonko huko kigoma kwenye kambi ya JKT...
Mnatia aibu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kama hyo ni ya kanda hii je. ...We boya kweli kuna Mji gani hapa Tanzania ambao una lami kila mtaa?..Kwamba unashangaa Vumbi Tanzania?
Hii ni hospital ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa lakini hakuna lami Wala maua kwenye viunga Wala pavement
Bugando referralKama hyo ni ya kanda hii je. ...View attachment 2336536View attachment 2336537View attachment 2336538View attachment 2336540
Nimeamini Kweli kwenu mnaongoza kwa udumavuLabda udsm ya katerero
π€£π€£, mihemko kitu kibaya sanaAcha kujifungia Kanda ya ziwa tu tembea ndo utaajua Nini tunacho kwambia katoro sawa na ilembula ,igawa nk
Usijari kesho ntakuwekeaHi Ni igwachanya leta hata pic moja ya katoro
View attachment 2336077View attachment 2336079View attachment 2336080
Kwani Mbeya ina nini kuzidi IlemelaHaiwezi kutokea,hiyo Ilemela yako itashindana na Njombe,Tunduma na Mafinga
Hicho ni kijiji hakiwezi kuingia hata Kwa Igawa..
Igawa townπ
Ina eneo kubwa la kukusanya mapato kuzidi hapo Ilemela..Kwani Mbeya ina nini kuzidi Ilemela
Wakati mgonjwa anajihisi kupona kumbe ndo kwanza anakufaToka tumeanza Uzi nilikwambia leta jengo la ghorofa 4 umeshindwa unakuja kulia lia na takataka hapa..
Njombe imepiga Kahama in and out,ina majengo zaidi ya 10 ya ghorofa kuanzia 5 na kuendelea Kahama haina..
Ina hospital ya Rufaa ya wiwango,Kahama ina kahospital uchwara,
Ina lami za mjini na mpangilio mzuri jijini,Kahama imejaa mavumbi tupu,
Ina viwanda kama vyote,
Ina stand kali Kahama ni zizi mnaita stand,
Ina soko la kali nyie bado mnauzia.minadani na kwenye mitaro ya barabara,
Haina Uswazi,Kahama imejaa maskini na uswazi,
Ina mandhari nzuri Sana ya kuvutia,Kahama iko disorganized utafikiri malisho ya ng'ombe,
Leta video ya Kahama tuone,Njombe hii hapa π
Leta jengo lenye gorofa 4 huko Kahama nitoke jukwaani sitaki porojo.Wakati mgonjwa anajihisi kupona kumbe ndo kwanza anakufa
Eneo gani unazungumzia, Acha ushamba ilemela inatandika hicho kijiji cha wakulimaIna eneo kubwa la kukusanya mapato kuzidi hapo Ilemela..
Mwaka huu mtapigwa mbali zaidi maana ushuru wa parking ya magari umerudi Halmashauri na magari Mengi yapo njia yetu ya TANZAM