Kahama VS Njombe/Mafinga

Maeneo kama haya yapo Capetown na Rio de Janeiro..na pale Greece..

Leta mitaa yenu yote kuanzia forest,gangilonga,mji mwema, Nazareth,na uzunguni ,uhindini.hapa hamfui dafy

Hii ni nyamagana Babu....
 
Attachments

  • WABUNGE WATINGA UWANJA WA NDEGE WA SONGWE, WAKOSHWA NA MKANDARASI, WATOA KAULI HII.. ( 360 X 6...mp4
    23.6 MB
Acha porojo za kijinga, weka facts..

Kamwe Mwanza haitakuja kufikia viwango Hivi vya uwanja wa Songwe,the bright future is awaiting Mbeya na Nyanda za Juu
siku nikiona ndege ya kimataifa imetua hapo songweni ..ndio nitauita airport..ila sasa acha uitwe airstrip..
 
Terminal one ujenzi unaendelea..bado terminal 2 . feasibility study inamalizikia.
 
siku nikiona ndege ya kimataifa imetua hapo songweni ..ndio nitauita airport..ila sasa acha uitwe airstrip..
Ulitaka itue wakati uwanja ulikuwa hauna vigezo vya ndege za Kimataifa kutua?

Zitatua za kuzidi tuu baada ya kupata safety certificate,ujenzi uko 88%
 
Ulitaka itue wakati uwanja ulikuwa hauna vigezo vya ndege za Kimataifa kutua?

Zitatua za kuzidi tuu baada ya kupata safety certificate,ujenzi uko 88%
Kwa hyo umekubali mwanza airport ni international na songwe bado haijawa international ?....then keep quite.fikeni level ya rwandair kutua hapo au dreamliner ya ATCL ndio uje uongee
 
Kwa hyo umekubali mwanza airport ni international na songwe bado haijawa international ?....then keep quite.fikeni level ya rwandair kutua hapo au dreamliner ya ATCL ndio uje uongee
Mwanza ni uwanja wa Mkoa, international airports hapa Tzn ni Dar,Kia,Aman Karume,Songwe na Msalato ambazo ni under construction
 
Mwanza tayari Ina urefu wa km 3 + .na ujenzi unaendelea..
Hii ni hub ya makampuni ya ndege...ni shirika Gani la ndege hub yake ipo songwe.
 
Mwanza tayari Ina urefu wa km 3 + .na ujenzi unaendelea..
Hii ni hub ya makampuni ya ndege...ni shirika Gani la ndege hub yake ipo songwe.
View attachment 2334560
View attachment 2334561
Hiyo km 3 + iko wapi hapo 😜😜😜😜.

Huo ni uwanja wa Mkoa,hata uwe na abiria mil.1 na Songwe ikapata international route 10 tuu kwa mwaka pesa yake ni kubwa kuliko huo uwanja was mkoa..

Subiria ukamilike na upate certification, unadhani Serikali inajifurahisha kwa kujenga kule au? Au hata video hujaisika kwa sababu huna pesa ya Bando nikutumie?
 
Hizo international route mtazisikia kwenye mabomba tu ... mwanza tayari tuna international route we unatapika nini hapa
Uwanja ni huu . tuondolee kituo Cha kupitia ndege hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…