Kahama VS Njombe/Mafinga

Unajua kabisa Tanganyika na Victoria wap kuna meli nyingi, ata ivo biashara kubwa ipo lake Victoria.
Nimekwambia huku kulikuwa na meli moja sasa tunapoenda kupata meli 3 ita boost uchumi zaidi,nyie huko kwenu uchumi wenu uko ziwani ila sie huku hii ni addition tuu.
 
Maporomoko ya pili Kwa ukubwa Africa kuanza kumimina pesa mkoa wa Rukwa..

Ujenzi wa cable car,

Ujenzi wa Airstrip,

Ujenzi wa steel case,

Ujenzi wa Rest house,

Ujenzi wa barabara ya lami hadi kwenye Lango la maporomokoπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220822-163944.png
    161.4 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220822-164025.png
    47.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220822-164124.png
    46.6 KB · Views: 7
Barabara zenyewe hakuna..Soon mnaanza kuja Mbeya kushangaa 4 lane superhighway..

Nyanda za Juu Kusini kuna barabara za viwango ndio maana unaona kuna ngoma kali kama hizi,huwezi Kuta huko utopoloni Kanda ya Ziwa
Kwa hyo bus la kwenda south limekuwa lenu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…