P[emoji91][emoji91][emoji91]Kahama inazidi kurusha mabomu mazito..huko kusini wa kutuzidi ni iringa tu...kwingine mnakalia
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji91][emoji91][emoji91]
Miradi Kila Kona ....View attachment 2328492View attachment 2328493View attachment 2328494View attachment 2328495
Kama kawaida yenu,mkijitahidi Sana zitakuwa floor 3 😜😜😜😜Kahama inazidi kurusha mabomu mazito..huko kusini wa kutuzidi ni iringa tu...kwingine mnakalia
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji91][emoji91][emoji91]
Miradi Kila Kona ....View attachment 2328492View attachment 2328493View attachment 2328494View attachment 2328495
Nyie ni WA mkiani tuu siku zote..P[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2328500
Nyie ni WA mkiani tuu siku zote..
Njombe ni ya Viwanda na iko level zingine kabisa [emoji116]
Kahama na Njombe, Yes Kahama iko juu ya Njombe. Makambako na Katoro nimeona kama Katoro iko juu. Miji mingi midogo au ya size ya kati nchini Tanzania haipishani chochote cha maana kwa maana significant differences, mji mmoja unaweza kuwa na jambo ABC ukakosa CDE ambazo mji mwingie zipo. Kwa hiyo hiyo miji inafanana tu
Kanda ya ziwa huwezi kuta uchafu kama huo, huku Kuna Barabara sio manyokanyoka.Kanda ya Ziwa yote huwezi Kuta barabara ya viwango vya super pave,Najua imekuuma Sana [emoji16][emoji16].
Kitu cha Super pave kama Switzerland [emoji116]
👍👍👍Kiwanda cha Gaki investment Co. Ltd, Shinyanga