Kahama VS Njombe/Mafinga

Kagera inazidi kufunguka[emoji95][emoji95][emoji95]
 
Maonj ya watu wenye akili huko twitani...sijaiona nanenane mbeya [emoji95][emoji95][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji848]
 
Nyegezi loading.........[emoji13][emoji13][emoji13]
Yaani mbeya wivu umewajaa na maumivu ni mazito mno .. assume we ni Simba,man u ,shabiki wa odinga ,na hater wa mwanza .wiki hii una Hali mbaya mno .[emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Mbeya vs ilemela municipal
Mbeya mshakaa chini dadek zenu
[emoji95][emoji1787][emoji116][emoji116]
 
Nyanda za Juu inzaidi kuchapa lake zone kila sekta,hapo mnasonya kwamba inakuaje kila kitu tunacho.

Kiwanda cha shaba Tunduru-Ruvuma is loading πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220817-073328.png
    118.3 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220817-081208.png
    124.4 KB · Views: 11
Mgodi wa Makaa ya Mawe Kiwira na kiwanda cha kufua umeme vimefufuliwa huku stamico wamesema wamepata wateja wa kuuza Tani 60 za Makaa ya Mawe kwa mwezi..

On top of that kiwanda cha mkaa mbadala wa kupikia nacho tayari.

CSR Revenues kwa Rungwe,Ludewa,Mbinga na Sumbawanga πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220817-074106.png
    194.3 KB · Views: 8
  • 20220817_073959.jpg
    99.5 KB · Views: 10
  • 20220817_073614.jpg
    96 KB · Views: 9
  • 20220817_073545.jpg
    91.6 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220817-073415.png
    188.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220817-074024.png
    175.3 KB · Views: 8
Maonj ya watu wenye akili huko twitani...sijaiona nanenane mbeya [emoji95][emoji95][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji848]View attachment 2325715
Tumeelewana kwanza? Bus terminal Tanzania zipo sita tu, hivi karibuni tunaongeza na Nyegezi Bus terminal [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Mabasi ya watu na hamna bus terminal? [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Tumeelewana kwanza? Bus terminal Tanzania zipo sita tu, hivi karibuni tunaongeza na Nyegezi Bus terminal [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Mabasi ya watu na hamna bus terminal? [emoji13][emoji13][emoji13]
Tuanze kwa kujiliza ni maana ya stendi kuu/Bus terminal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…