The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
We ndezi amka toka usingizi utajikojolea kitqndani.π¬π¬Poverty.mwanzo mwisho View attachment 2324863
Kiboko ya Bukoba huwa ni Sumbawanga tuu πMorning from Bukoba Tz...
Naona ujenzi wa stendi ya mkoa ya kyakairabwa umeanza tena...
View attachment 2324980View attachment 2324981
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Bora hata mumekumbukwaUjenzi wa stendi kuu ya Bukoba.....
Na itakavyokuwa ikikamikika...View attachment 2324982View attachment 2324983View attachment 2324984View attachment 2324985View attachment 2324986View attachment 2324987
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Pamoja na kwamba hii picha ni ya zamani yet hizo nyumba sio tembe Wala mabanda kama yale ya Kahama na Mwanza,zimejengwa kwa tofari na zimeezekwa bati na Wala haziko uswazini..Wakati unajiandaa kuacha kuchangia mada..leo nafanya attacking system.counteroffesive...nimeacha defense system
Mwendo wa kuattack njombe na Kanda nzima ya nyanda za juu
Njombe halisi ni hii[emoji116]...uchafu mwanzo mwisho mji upo kama haupo View attachment 2324858View attachment 2324859
Mlivyo washamba sasa ...Mwashangaa bus la kwanza lenye choo ndani[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa Kahama lazima mpasuke kwa vivu,tuliwaambia Njombe ni level zingine..
Baada ya ABC Upper class,chuma cha maana kingine kimeingia mjini..
Dar-Njombe na Njombe Express VIP Class [emoji116]
ABC Upper class ni π₯π₯π₯π₯Mlivyo washamba sasa ...Mwashangaa bus la kwanza lenye choo ndani[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2325171
Kwamba kule Buzuruga magari yalikuwa yanashusha/pakia abiria bure si ndio? ππππ.Kazi imeanza nyamhongolo ...Mbeya mjiandae kupigwa chini mapato na ilemela ...vyanzo vimeanza kufunguliwa [emoji312][emoji313]View attachment 2325172View attachment 2325173View attachment 2325174View attachment 2325175View attachment 2325176
Ushahiddi uko wapABC Upper class ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Lake zone nzima hakuna,niliwaambia Mbeya ina mabasi mengi ya Dar kuliko Mwanza.
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...We ndo unasema kati ya mwanza na mbeya ....Mbeya ndio kuna magari mengi ...Wew ni takataka kwelkKwamba kule Buzuruga magari yalikuwa yanashusha/pakia abiria bure si ndio? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12].
Mkuu unajifariji tuu,mwaka huu parking zimerudi Halmashauri sasa wapi kuna magari mengi Kati ya Mwanza na Mbeya? Malori tuu yanawakalisha.
Buzuruga stendi Haikuwa fees kama hzi..Kwamba kule Buzuruga magari yalikuwa yanashusha/pakia abiria bure si ndio? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12].
Mkuu unajifariji tuu,mwaka huu parking zimerudi Halmashauri sasa wapi kuna magari mengi Kati ya Mwanza na Mbeya? Malori tuu yanawakalisha.
Mwanza to kampala ...Buzuruga stendi Haikuwa fees kama hzi..View attachment 2325235
orange on the game...Dar mwanzaMwanza to kampala ...
Huwezi pata international route..MbeyaView attachment 2325256