Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe kwenye vitu vya kijinga wanaongoza tu
. Bado takwimu za TACAIDs
Njombe ni aibu tupu ....yaani vibarabara vinavyojengwa sa hv ndo vinawapa nguvu ya kujiona above...kahama sijapata wasaa wa kupiga picha fresh.na baadhi ya maeneo wanazuia kupiga picha..
Kuna hotel inajengwa phantom opp na the magic ..Ile hotel ni balaa ,,itakuwa rated 3 star au 4 star.. nitajitahidi nipate picha yake niilete.
 
Na pembeni yake kuna sheli inapanda ghorofa moja, yaani ni shida. Bado opposite Stand ipo kwenye mradi wa TACTIC mwezi wa tisa ujenzi unaweza anza.

Kwa sasa nipo Arusha huku Njiro kuna mitaa ya ovyo sana bora hata Majengo Sokola yetu na Nyihogo
 
 
Kumbe unapafahamu...wew umenena mkuu... huwezi shindanisha wilaya iliyokuwa yenyew na kuwa manispaa bila kuwa makao makuu ya mkoa
 
Jitaidi mkuu upate hizo picha ili huyu popoma tusimuone tena kwenye huu uzi kama alivyoahidi.
 
Kuna Kahama tofauti na hiyo kwenye video?😁😁

Vibarabara vipi? Njombe town ina barabara kitambo sana.

Endelea kujifariji..Hamuwezi thubutu kuleta video mnafahamu aibu itakayowakumba.

Njombe town streets πŸ‘‡
 

Attachments

  • Mitaani huku kulivyo pendeza Njombe mjini. ( 352 X 640 ).mp4
    17.6 MB
Nimekwambia sheli za ghorofa Njombe tulishatoka huko na picha nimeweka nyie ndio mnahangaika now 😜😜😜😜..

Ni hivi Miji yote ya Nyanda za Juu Kusini ina hizo sheli zenye ghorofa kuanzia Sumbawanga,Tunduma,Mafinga Njombe na Makambako kote zipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…