Ahahahaaaa,Sasa kufuata njia ya watembea kwa miguu ndo akili!, Barabara yenyewe iko kusini na inaenda makete ulitegemea huyo injinia aumize kichwa chake kwa Barabara ya makete?!
Mbona baya hvyoHabari njema hii apaView attachment 2319923
Wamepigwa mchana kweupeMbona baya hvyo
Sinimarudio haya auProject kama hzi ..haziwez kuwekwa ziwa nyassView attachment 2320127
Sawa huko ziwa Nyasa na Rukwa mtaziota tuSinimarudio haya au
Aaahaaa, atakuja na per capital income hapa, niliishamwambia Kahama ni rahisi kuwa Jiji kabla ya Njombe akalilia humu.Kumbe rais kawatolea nje...na mko kimyaaisee bravo Samia ....njombe bakini kwenye kundi moja na nzega,manyoni,babati hizo ndo size zenu ..View attachment 2320511
Hii Barabara imewauma Sana nyie jamaa ππππ..Umasikini tu, kwa hizo kona kona safari ni ndefu, haina tofauti na mtu anaesafiri kutoka Dar mpaka Bukoba kwa lori la mizigo.
Kanda ya Ziwa yote huwezi Kuta barabara ya viwango vya super pave,Najua imekuuma Sana ππ.Sasa kufuata njia ya watembea kwa miguu ndo akili!, Barabara yenyewe iko kusini na inaenda makete ulitegemea huyo injinia aumize kichwa chake kwa Barabara ya makete?!
Kwetu kuna miradi mikubwa ya Matilioni ya shilingi ya Kitaifa na Kimataifa sio huto tumiradi twa jero jero.Project kama hzi ..haziwez kuwekwa ziwa nyassView attachment 2320127
Wakati mkiendelea na ndoto ,tunawapa dozi tuu πSoko la KirumbaView attachment 2319978
Aahahahaa, halafu ujenzi wa hayo Masoko sio hisani kwamba Njombe ni special. Kama umemsikia SSH na Ino Bash wataendelea kujenga masoko ya kisasa kwenye kila Halmashauri ili kuchochea ukusanyaji wa mapato.Kwetu kuna miradi mikubwa ya Matilioni ya shilingi ya Kitaifa na Kimataifa sio huto tumiradi twa jero jero
Kumbe rais kawatolea nje...na mko kimyaaisee bravo Samia ....njombe bakini kwenye kundi moja na nzega,manyoni,babati hizo ndo size zenu ..View attachment 2320511
Pole mkuu endelea kujifariji,ila maumivu yakizidi usisite kuhama huko machimboni ππ.Aahahahaa, halafu ujenzi wa hayo Masoko sio hisani kwamba Njombe ni special. Kama umemsikia SSH na Ino Bash wataendelea kujenga masoko ya kisasa kwenye kila Halmashauri ili kuchochea ukusanyaji wa mapato.
Tuweke kumbukumbu vizuri, mzigo utakaoshushwa Kahama (Soko Kuu) huo wa kwenu mtauita uchafu.
Rais hajakataa bali Amesema hicho sio kipaombele kwa sasa kwa sababu pesa za kukata maeneo mapya na kupandisha hadhi hazipo..bado sana njombe...
ππππ Yaani Kahama na mavumbi hayo,huduma mbovu na kila kitu hakuna ndio iwe Jiji? Acha dharau kwa neno Jiji..Aaahaaa, atakuja na per capital income hapa, niliishamwambia Kahama ni rahisi kuwa Jiji kabla ya Njombe akalilia humu.
Njombe TC inalinganishwa na Jiji la Mwanza ππππ..Wamepigwa mchana kweupe
Wasubirie hili solo la Kirumba billion 17 achilia mbali soko kuu la mjini ambalo ujenzi unaendelea.
View attachment 2319974