The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Mtajua hamjui..Nyie si mlisema mbeya na kusini inajengwa na wenyeji sio serikali
Hiyo mipango ya wanasiasa tu ...Mtajua hamjui..
Tayari ekari 500 zimepatikana eneo la Tanganyika Packers Mneya baada ya Ziara ya Rais na Sasa Udsm wataanza rasmi kujenga Chuo Cha Afya na Teachiy Hospital..
On top of that Speaker kasema Rais karidhia ekari 50 za TBC zimegwe pale Iwambi tayari Ocean Road Cancer Institute kuanza Ujenzi wa Tawi lao na pesa iko tayari imetolewa na Wizara ya Afya..
Pili tume bid Mbeya iwe ina host maonyesho ya Kimataifa ya 8/8 bado linafanyiwa Kazi.
Kwa hiyo leo umeamua utoka kijiweni uende kupiga picha kwenye mavumbi ya huko Kwenu ππππ
Jamaa wa Kahama wanaonesha mavumbi mjini eti ni barabara necheka Sana na wanaita Manispaa ππMkeka huo
wewe anza na uendelee kuomboleza kwasababu huko tuendako utaomboleza mpaka kieleweke. Mzee wa COMMEndeleeni kujifariji
Mkeka huo
Hiyo ni Barabara au kituko! Barabara imepindapinda kama nyoka!! Kwa sababu ukanda tengwa injinia aliamua aachane na habari ya kudesign upya Barabara kitaalamu, akaamua kufuata Barabara ya asili ya waenda kwa miguu.Wera weraaaaa..
Kazi inaendelea
Uzee ni ulemavu ππππHiyo ni Barabara au kituko! Barabara imepindapinda kama nyoka!! Kwa sababu ukanda tengwa injinia aliamua aachane na habari ya kudesign upya Barabara kitaalamu, akaamua kufuata Barabara ya asili ya waenda kwa miguu.
Barabara au uchafu ?Hiyo ni Barabara au kituko! Barabara imepindapinda kama nyoka!! Kwa sababu ukanda tengwa injinia aliamua aachane na habari ya kudesign upya Barabara kitaalamu, akaamua kufuata Barabara ya asili ya waenda kwa miguu.
TakatakaBarabara au uchafu ?
Ugonjwa ni nusu kifoUzee ni ulemavu
Ulitaka wachimbe mahandaki kama Treni au unadhani wewe unaakili kuliko ngineers waliodesign hiyo Barabara kutokana milima.Tembea uone usidhani Kila Kona ni tambalaleHiyo ni Barabara au kituko! Barabara imepindapinda kama nyoka!! Kwa sababu ukanda tengwa injinia aliamua aachane na habari ya kudesign upya Barabara kitaalamu, akaamua kufuata Barabara ya asili ya waenda kwa miguu.
Umasikini tu, kwa hizo kona kona safari ni ndefu, haina tofauti na mtu anaesafiri kutoka Dar mpaka Bukoba kwa lori la mizigo.Ulitaka wachimbe mahandaki kama Treni au unadhani wewe unaakili kuliko ngineers waliodesign hiyo Barabara kutokana milima.Tembea uone usidhani Kila Kona ni tambalale
Sasa kufuata njia ya watembea kwa miguu ndo akili!Ulitaka wachimbe mahandaki kama Treni au unadhani wewe unaakili kuliko ngineers waliodesign hiyo Barabara kutokana milima.Tembea uone usidhani Kila Kona ni tambalale