The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Kwa hiyo hicho kijiji cha Bukoba kina biashara kuzidi Mbeya sio? ππππ..Na bukoba mara mbili kwa siku...just imagine kila siku kwa mji kama bukoba..
Na hapo kuna precision air na auric
Bado Sana,Ofisi kama hii ya RC wa Mbeya hakuna Lake zone yote π
Hii ilikuwa ya mwaka 2015 ..Kwa hiyo hicho kijiji cha Bukoba kina biashara kuzidi Mbeya sio?..
Sababu ni ile ile mko kwenye makwapa ya Tanzania so usafiri wa ahueni ni ndege na sio mabasi mnayokaa njiani siku 2..
Mwanza ukitoka saa 12 unafika Dar saa 7 usiku sasa nani atataka kukaa masaa yote hayo?
Kuna kampuni kama 8 hapo zilishakufa ikiwemo najimnisa..Hii ilikuwa ya mwaka 2015 ..
Ongezea
Tungis ,tanzanite,,abood,fresters ,kvc,n.k na hizi kampuni Zina gari zaidi ya 3 View attachment 2316721
Mnachafua Uzi na hayo matope yaliyopauka..
Mnajaza seva bure na hizo takataka zenu mnazoita barabara..Geita to Biharamulo to bwanga .mambo niView attachment 2316526
Kama ni barabara mta aibika, barabara ziko Kusini πSengerema..mwanzaView attachment 2316531
Eti najmunisa kafaKuna kampuni kama 8 hapo zilishakufa ikiwemo najimnisa..
Leta latest data
Angalia Wafanyabiashara wa Dhahabu Chunya ni watu wa wapi wengi... na kule Igawa Mbarali wameshatimba tayari...Huko kwenu anakuja kwa sababu Kuna lundo la matatizo ambayo huku hayapo..
Mathalani ziara yake huku Mbeya imekuwa ni full shangwe kwa utekelezaji wa miradi na amewasifia watendaji wake,huko Mwanza keshapangua ma RC mara 3..
Mfano mwingine,Biteko Amesema Wilya ya Chunya imeizidi Kahama na ni ya pili Kwa kuzalisha dhahabu nyingi nyuma ya Geita,ni full shangwe..
Waziri wa Viwanda na Uwekezaji Amesema Mbeya ni ya pili Kwa kuwa na viwanda vingi nyuma ya Pwani na vingine.vingi vinakuja wametoa leseni kama zote..
Na RC amesisitiza tena leo kwamba Mbeya imekusanya Bil.45 na kuvuka malengo kwa hiyo Bashungwa katoa taarifa ya uongo..
Mwisho siku ya 8/8 Rais anazindua miradi 21 ya umwagiliaji Kati ya hiyo 13 iko Mkoa wa Mbeya..
Ndio maana kila siku nawaambia Mbeya hatuhitaji push ya serikali huku tayari watu wanajua wanachofanya sio kama huko msikojielewa.
Sauli ndio mabasi mengi...?!Nikajua umeweka namba kumbe umeandika stori za kutunga. Nasema hivi hamuwezi zidi hata kidogo,kuna basi zaidi ya 15 zinaondoka Mbeya kwenda Dar kila siku..
Hizo ngoma hapa zote zinatoka Mbeya.Driving on Southern Highlands Roads
Sisi tunataka pesa,sura za watu hazituhusu..Angalia Wafanyabiashara wa Dhahabu Chunya ni watu wa wapi wengi... na kule Igawa Mbarali wameshatimba tayari...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
acha uongo, pale Mbeya mjini kuna dealer wangapi...?! Chunya ndio center angalia ma dealer wa pale, jamaa wanachimba wananunua pia... hakuna manamba tu... nenda kwenye Elution za pale uone...Sisi tunataka pesa,sura za watu hazituhusu..
Ukitaka tuangalie sura unazingua maana Mwenyekiti wa wachimbaji wadogo ni mkinga wa Makete..
Wanunuzi wengi wakubwa wa madini ni Wajinga ila manamba wengi ni Wasukuma kama kawaida yao..
Mwisho Pesa inabakia Mbeya hayo mengine ni ya kwako.
Kwa hiyo japo umeona Sauli tuu?
Uongo gani?acha uongo, pale Mbeya mjini kuna dealer wangapi...?! Chunya ndio center angalia ma dealer wa pale, jamaa wanachimba wananunua pia... hakuna manamba tu... nenda kwenye Elution za pale uone...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hii ya zamani, simuoni Tanzanite, Frester na Nyehunge Mwz/ MoroHii ilikuwa ya mwaka 2015 ..
Ongezea
Tungis ,tanzanite,,abood,fresters ,kvc,n.k na hizi kampuni Zina gari zaidi ya 3 View attachment 2316721
Chunya iwe namba mbili Mara Tarime iwe namba ngapi????Uongo gani?
Mbeya Mjini wawepo wa nini wakati Soko limeshajengwa Chunya?
Waziri Biteko kasema kuna dealers zaidi ya 60 Chunya na Mbeya Mjini wako kadhaa..
Mzee saizi Chunya ni namba 2 Kwa kuzalisha Dhahabu nyuma ya Geita.
Yaan ,jamaa ni liongo kweliChunya iwe namba mbili Mara Tarime iwe namba ngapi????
Mapovu kamtolee Biteko mimi naleta taarifa tuu..Chunya iwe namba mbili Mara Tarime iwe namba ngapi????
Takwimu zinaongea kuliko porojo zakoMapovu kamtolee Biteko mimi naleta taarifa tuu..
Mnapigwa za USO huku mnatoa macho
pale Tume ya Madini kuna dealer mmoja kwa sasa, ukienda Chunya wachimbaji wengi ni wa kanda ya Ziwa...Uongo gani?
Mbeya Mjini wawepo wa nini wakati Soko limeshajengwa Chunya?
Waziri Biteko kasema kuna dealers zaidi ya 60 Chunya na Mbeya Mjini wako kadhaa..
Mzee saizi Chunya ni namba 2 Kwa kuzalisha Dhahabu nyuma ya Geita.