Wakati mkisubiri Samia aje azindue maonesho ...huku uchumi unajengwa ..mnashangaa kwanni still GDP tunafanya vizuri kuliko huko ..kumbe mmkalia kilimo Cha viazi.
Haya ndo maeneo potential ya nchi ..yaani ikitokea ikitokea vita na nchi nyingine basi mapigano makali yatakuwa huku .maana Tanzania haiwezi kukubali kuliachia eneo hili kirahisi