Kahama VS Njombe/Mafinga

Sijajua kwa sasa RC Homela kafikia wapi na kupata eneo la Ujenzi wa Campus mpya ya Udsm Mbeya hususani Shule ya Udaktari na Hospital ya Kufundishia👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-052509.png
    133.7 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220719-052455.png
    134.9 KB · Views: 11
Unatuletea maswali..tukisema tupu hoja za wabunge wetu hapa thread si itachafukwa leta project proposal au ministrial plan au ground progressing za mradi
 
,
unaletea maswali ya bungeni sisi...tuletee project on ground
Hujaona stand ya nane name? Ndio nakuletea maswali ya Bungeni na mpango si ulisema wewe kwamba hakutakaa kuwe na stand vipi tena? Michoro ndio hiyoo inawasilishwa Wizarani.
 
Kipo tayari kinatumia Majengo ya Hospital ya Rufaa Mbeya Kwa miaka 5 sasa..

Kinachosubiriwa ni eneo la Ujenzi rasmi,najua inakuuma ila vumilia hivyo hivyo,Ndio Mbeya hiyo mkuu.
Siku Mbeya mkiwa night view kama hii ndo nitaanza kuona wivu,
 
Bukoba si nyanda za kusini..af usinibishie mimi nipo kahama hapa ...hub ya fresters....we wa Wanging'ombe tulia dozi iingie
Naona umepagawa wapi niliposema bukoba sio kanda ya ziwa mmiliki wa fresta ni mtu wa bukoba boss kwaiyo frester ni pride of bukoba.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20211222-113224.png
    116.2 KB · Views: 14
  • Screenshot_20210914-220238.png
    353.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20210908-225013.png
    146.9 KB · Views: 14
  • Screenshot_20210908-223940.png
    147.7 KB · Views: 19
  • Screenshot_20210908-223150.png
    218.4 KB · Views: 18
  • Screenshot_20210906-201313.png
    146.7 KB · Views: 17
  • Screenshot_20210807-063005.png
    443.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_20210807-062944.png
    326.6 KB · Views: 14

Attachments

  • 2940495_grcityhotelmbeya-___CO1rhybhDdm___-.jpg
    45 KB · Views: 13
  • 2940501_jr_sports_tz-___CRcAdcUroHE___-.jpg
    117.9 KB · Views: 13
  • 2940500_tzcucom-___CP4r_ptNOB5___-.jpg
    69.2 KB · Views: 12
  • 2940502_mdopeiddehotel_tz-___CTujdtdtA1K___-.jpg
    107.2 KB · Views: 10
  • 2940503_Screenshot_20210918-123445_1631958166649.jpg
    34.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20210804-230500.png
    284.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20210804-224127.png
    227.8 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…