Kahama VS Njombe/Mafinga

Frester ni pride ya bukoba boss si shinyanga mmiliki wake ni mtu wa bukoba.
Bukoba si nyanda za kusini..af usinibishie mimi nipo kahama hapa ...hub ya fresters....we wa Wanging'ombe tulia dozi iingie
 
Wa kusini nawaongezea dozi nyingine ..kama ni wivu mlie kabisa...

mtasubiri sana kupata miradi kama hii huko nyanda za juu
 
Sumbawanga πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20220630_142806_333.jpg
    1.6 MB · Views: 14
  • IMG_20220630_142805_925.jpg
    1.7 MB · Views: 12
Songea Municipal πŸ‘‡
 

Attachments

  • BUSTANI.jpg
    72.1 KB · Views: 16
  • thumb_920_1130x480_0_0_auto.jpg
    92.7 KB · Views: 13
  • 3-31.jpg
    89.4 KB · Views: 15
  • thumb_1011_800x420_0_0_auto.jpg
    45 KB · Views: 12
Kasumulu Town in Kyela..

Tanzania x Malawi Border πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220413-160521_1.jpg
    51.1 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220413-161012_1.jpg
    76.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220413-160418_1.jpg
    97.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220413-160643_1.jpg
    97.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220413-160336_1.jpg
    94.3 KB · Views: 13
Bukoba si nyanda za kusini..af usinibishie mimi nipo kahama hapa ...hub ya fresters....we wa Wanging'ombe tulia dozi iingie
Ngoja nikutulize na dozi ya Songea street Roads πŸ‘‡
 

Attachments

  • images - 2022-04-26T160617.525.jpeg
    37.6 KB · Views: 12
  • images - 2022-04-26T160713.084.jpeg
    32.2 KB · Views: 12
Never ....Hamna kitu kama hicho . mbeya sio strategic city ...ko miradi kama hyo mtaisikia tu....bora useme Arusha
Unajiaibisha.

Mbeya sio tuu kwamba ni strategic City bali Mkoa wa Mbeya ni mkoa wa Kiuchumi ulio namba 3 kuchangia Pato la Taifa na namba 2 kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa..

Kama huna bando sema nikupe Ili usikilize hii video kutoka Bungeni hapa chini πŸ‘‡
 

Attachments

  • KASAKA AHOJI BUNGENI NI LINI SERIKALI ITAJENGA STENDI YA KISASA YENYE HADHI YA JIJI LA MBEYA_ ...mp4
    14.5 MB
Nyanda za Juu ni Kutamu Sana na watu Wana pesa aisee..

Mkoa wa Mbeya wavuka malengo ya Makusanyo.Wilaya yenye mapato kiduchu ni 1.6Bln..

Kanda ya Ziwa sasa kumejaa Maskini watupu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-051157.png
    147.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220719-051338.png
    60.7 KB · Views: 9
Wa kusini nawaongezea dozi nyingine ..kama ni wivu mlie kabisa...

mtasubiri sana kupata miradi kama hii huko nyanda za juu
Serikali inafanya usanifu wa michoro ya stand mpya..

Tulianza kupata stand za maana kabla yenu ndio maana mnachachawa.πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-054313.png
    96 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220719-052804.png
    136.2 KB · Views: 10
Huwezi Kuta mambo ya maana kama haya ya Kitaifa yakifanyika ile mikoa mnayouana kama kuku..

Asante Sana Viongozi wa dini kwa kuiheshimisha Njombe πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-051849.png
    68.2 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…