The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ukweli usemwe tuu hata kama unapinga..wakati .. KAHAMA , tunamalizia fesability study ya stendi ya kisasa.nyegezi nayo ikimalizikia..musoma na bukoba wakianza process za ujenzi ...
.......hii ni moja ya stendi ya kisasa ya kanda ya ziwaView attachment 2295757View attachment 2295758
Hii ni airport terminal au nyumba ? 😆😆Bukoba airportView attachment 2295768
Ymeishiwa tayari,Kahama hamna kitu 😂😂KAHAMA bus terminal proposedView attachment 2295778
Wivu tu ..Ukweli usemwe tuu hata kama unapinga..
Haya majengo ya hiyo stand ni mabaya hayavutii..
Njombe na Mbeya hatutarajii kujenga mastand mabaya kama hiyo..
Ukiona stand za Iringa, Sumbawanga,Dodoma nk zinavutia.
Mbeya mjenge nn...no such dream .. mtaendelea kupauka hapo nanenane.Ukweli usemwe tuu hata kama unapinga..
Haya majengo ya hiyo stand ni mabaya hayavutii..
Njombe na Mbeya hatutarajii kujenga mastand mabaya kama hiyo..
Ukiona stand za Iringa, Sumbawanga,Dodoma nk zinavutia.
Pole Sana mkuu,Miradi ya Tactic kwa Mbeya inahusisha stand na tayari mchakato uko mwishoni.Mbeya mjenge nn...no such dream .. mtaendelea kupauka hapo nanenane.
Bora niwe na wivu ila michoro ya hovyo kama hiyo wasiilete Mbeya..Wivu tu ..
Songea-Mwanza 👇KAHAMA ... transport corridor ya Rwanda.burundi ,DRC ,na Uganda.View attachment 2295830View attachment 2295831View attachment 2295833
Never ....Hamna kitu kama hicho . mbeya sio strategic city ...ko miradi kama hyo mtaisikia tu....bora useme ArushaPole Sana mkuu,Miradi ya Tactic kwa Mbeya inahusisha stand na tayari mchakato uko mwishoni.
Hukusikia hata Bungeni kwamba Serikali imeanza mchakato wa kujenga stand yenye hadhi ya Jiji Mbeya?
Tuondelee stendi zenu kama shule za kaizirege,Bora niwe na wivu ila michoro ya hovyo kama hiyo wasiilete Mbeya..
Ona hii stand ya Mpanda hapa