The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Na ujanja na miundombinu ya kitalii..Kigosi Moyowosi game reserve Shy/Kgm/Geita
View attachment 2290112
View attachment 2290113
View attachment 2290115
Burigi Chato National Park
View attachment 2290118
View attachment 2290120
Ibanda Game Reserve - Kagera
View attachment 2290122
Rubondo Island - Geita
View attachment 2290128
View attachment 2290129
View attachment 2290132
View attachment 2290131
Saanane highland National park - Mwanza city
View attachment 2290133
View attachment 2290134
View attachment 2290135
Maswa game reserve - Simiyu
View attachment 2290136
View attachment 2290137
View attachment 2290138
View attachment 2290140
Serengeti National
View attachment 2290141
View attachment 2290142
View attachment 2290145
View attachment 2290146
Yaani kiufupi Northern zone wametuzidi Tanzanite tu na baridi
Hii ni battle ya Njombe vs Kahama automatically inakuwa Lake zone vs Southern Highlands..Rafiki yangu The Sunk Cost Fallacy sijajua shida ni elimu yako ama nini, au hujaelewa uzi unataka ufanye nini.
Sasa mambo ya Songea na Mbeya yanakujaje hapo kwenye uzi wetu?
Toa fact za Njombe sio unakimbilia kupost Mabasi ya Songea na barabara za Mbeya au ndio unaongezea nyama mji wako upate point za kutosha maana peke yake hauwezi
Hapo Ifisi kuna shamba la Wanyamapori la Ifisi kama lile la Chato.
Wakikuonyesha road hata moja kali kama hiyo Lake zone yote ni tag mkuu 😬😬
😁😁😬😬 Mtanzania gani huyo anaemiliki meli harafu Serikali inampa.pesa za matengenezo na uendeshaji?Hizo umeweka hapa ni mali ya Mtanzania mmoja yupo Mwanza mjini
Mapank serikali inajenga meli kubwa kama hii Ziwa Tanganyika na Nyasa 👇Bado kuna huyu Mwali, nadhani December 2022 atakuwa anaingia kwenye maji
View attachment 2290035
Sawa Luhemeja wamekusikia 🏃🏃.Mnaochangia huu Uzi kuanzia page ya 200 mmezingua Sana , wengine wanapost picha za mwanza , ukerewe , mbeya , tunduma , mara chunya , mmekrupuka Sana , huu Uzi ni wa njombe Vs Kahama , mleta mada naye kabadli ID anaanza naye kutembea na upepo ... Mnaharibu maudhui ya Uzi , hakuna picha yyte ya miji hii isiyokuwepo jamii forum , tangu 2012 watu wanabishana mfano Arusha Vs mwanza , Mwanza Vs Kisumu , Dar Vs Nairobi , Mbeya Kijiji kikubwa.... Picha za miji hyo yote zipo humu , hakuna picha utaleta location mpya , labda jengo jipya, Kwa sasa Uzi ni Kahama Vs njombe...... Sasa Uzi umeparamiwa na maharamia
Hamna content iliyoharibika .. njombe pekee haitoshi kushinda hii battle inabidi isaidiwe ..Mnaochangia huu Uzi kuanzia page ya 200 mmezingua Sana , wengine wanapost picha za mwanza , ukerewe , mbeya , tunduma , mara chunya , mmekrupuka Sana , huu Uzi ni wa njombe Vs Kahama , mleta mada naye kabadli ID anaanza naye kutembea na upepo ... Mnaharibu maudhui ya Uzi , hakuna picha yyte ya miji hii isiyokuwepo jamii forum , tangu 2012 watu wanabishana mfano Arusha Vs mwanza , Mwanza Vs Kisumu , Dar Vs Nairobi , Mbeya Kijiji kikubwa.... Picha za miji hyo yote zipo humu , hakuna picha utaleta location mpya , labda jengo jipya, Kwa sasa Uzi ni Kahama Vs njombe...... Sasa Uzi umeparamiwa na maharamia
Wapi Kahama?Hamna content iliyoharibika .. njombe pekee haitoshi kushinda hii battle inabidi isaidiwe ..
Unaongea utopolo..Hakuna mtu ana habari na uwanja wa ndege Kahama,saizi itakuwa ni gulio la kuuzia punda [emoji16][emoji16]..
Uwanja wa ndege wa Njombe kujengwa upya [emoji116]
Unarudia picha [emoji38][emoji38][emoji38]Amazing & The Mighty Mbeya hiyo,Kona ya Mkoa area all the way to Chunya [emoji116]
Narudia eeh..Unarudia picha [emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu unanikumbusha mwezi pili tu nilikuwa hapo daah home sweet home.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ona huyu kima wa Saanane,hizo sio barabara kuu ni barabara za mitaa..
Mitaani swax baby[emoji116]
Kama hziView attachment 2294621Leten road kama hz...kwanzaView attachment 2294618View attachment 2294619