Rafiki yangu The Sunk Cost Fallacy sijajua shida ni elimu yako ama nini, au hujaelewa uzi unataka ufanye nini.
Sasa mambo ya Songea na Mbeya yanakujaje hapo kwenye uzi wetu?
Toa fact za Njombe sio unakimbilia kupost Mabasi ya Songea na barabara za Mbeya au ndio unaongezea nyama mji wako upate point za kutosha maana peke yake hauwezi