Kahama VS Njombe/Mafinga

Hii inshu ya mabus ungetulia tu maana huiwezi.....
 
Ndugu zangu wa nyanda za juu kusini mnaniangusha kweli mmeshindwa battle?? Okay! Ngoja nivalie njuga
 
Nikajua umeweka ligi ya mabusi ya maana huko kwenu kumbe unaleta picha za vibasi vya kwenda huko porini kwenu 😆😆
 
Biashara ya Bus ni watu, biashara ya ndege ni watu. Huwezi kujisifu unabishara za bus wakati population tia tia maji. Labda kama hizo bus zinabeba parachichi na mbao tu 😁 😁 😁 😁
 
Bila kusahau nyanda za juu kusini tunakimbiza katika sekta ya kilimo msisahau hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Economy diversification ni muhimu, ili ukitokea ukame nchi isiyumbe. Huku kanda ya ziwa tunaongoza kwa mining industry, fishing, tranportation and logistics, Japo sekta nyingine hatuko nyuma kama kilimo, ufugaji. utalii na huduma za kifedha.
 
Hapo penyewe ngoja sasa tuanze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo kigoma ,na rukwa ni nyanda za juu ,anyway vyovyote hata muiweke na Burundi ,
Nimeshangaa sana Nyanda za juu kusini zimefika Kigoma, wanachanganya kanda ya Magharibi (RUKWA/KATAVI/TABORA/KIGOMA) na huko uswekeni.

Kanda ya ziwa (KAGERA/ GEITA/ SHINYANGA/ MWANZA/ SIMIYU/MARA)
Nyanda za juu kusini (RUVUMA/ NJOMBE/ IRINGA/ MBEYA/ SONGWE)

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…