Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa mbona unaleta picha za Kenya najua ulikochukua[emoji4][emoji4][emoji4]after all mada ni Njombe v Kanda ya Ziwa
Huwezi linganisha utopolo wa njombe ...na kanda ya ziwa....kabishaneni na songwe kuhusu mkoa upi unatoa maparachichi mengi
 
Haters wa kutoka Makao Makuu ya Umaskini Lake zone wakiona wawekezaji wanamiminika Njombe wanatamani Ardhi ipasuke waingie πŸ˜†πŸ˜†..

Go Njombe go πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220702-100810.png
    180.9 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220702-100924.png
    185.4 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220702-100951.png
    45.5 KB · Views: 30
Haters wa kutoka Makao Makuu ya Umaskini Lake zone wakiona wawekezaji wanamiminika Njombe wanatamani Ardhi ipasuke waingie πŸ˜†πŸ˜†..

Go Njombe go πŸ‘‡
Naona hujatosheka na ban uliyoipata mtu mfupi na mweusi tii
 
Picha za zamani hizi mfano Kwa Leo kutoka kanisa la Roman Catholic hapo kuna gorofa lenye benki ya Mkombozi na kutoka mkombzi Kuna j dogo la ghorifa mbili kwenye picha zako hazipo
Ndo ulete picha ,sie maneno hatuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…