Kahama VS Njombe/Mafinga

Huwezi kuweka Kahama katikati ya miji midogo ....
Hahaha angalia vizuri mzee hapo Ni mchanganyiko au huioni manispaa ya songea ,Zanzibar Huko ni kujikosha tu kisa hampo kwenye huo mradi uliovunja rekodi
 
Nishakueleza kuwa Kahama ni manispaa inayojitosheleza huwezi ikuta kwenye miradi ya miji midogo ....hizo zote ni halmashauri za miji na manispaa zisizojitosheleza kimapato
 
Acha uongo kijana miradi ya maji haihusian na mapato tukikuletea takwimu za mapato ya njombe utaanza kuweweseka maneno mengine
Nishakueleza kuwa Kahama ni manispaa inayojitosheleza huwezi ikuta kwenye miradi ya miji midogo ....hizo zote ni halmashauri za miji na manispaa zisizojitosheleza kimapato
Na
 
Ukiniletea barabara ya hivi njombe ,nafuta account yangu ya JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…