Kahama VS Njombe/Mafinga

Now wanakaribisha wawekezaji na ukiwa juu ya safu za milima hii kipengere utaweza kuona kwa uzuri madhari ya miji ya makambako ,ilembula,igawa,rujewa ,ubaruku,mtwango,igwachanya nk
 
Now wanakaribisha wawekezaji na ukiwa juu ya safu za milima hii kipengere utaweza kuona kwa uzuri madhari ya miji ya makambako ,ilembula,igawa,rujewa ,ubaruku,mtwango,igwachanya nk
View attachment 2217505View attachment 2217506
Sawa ila sasa Makambako TC,nyie mapato yenu yanaenda wapi? Mbona inaonekana hamsaidii mkoa?

Yaani Halmashauri zote za Mkoa wa Njombe zinawazidi wakati Makambako ni Mji mkubwa kwenye Mkoa wa Njombe na S/Highlands kiujumla..

Mnazingua bhana, Makambako haufai kuwa ya Mwisho,toeni Mchango wenu kwenye maendeleo ya Mkoa.
 
Ishu
Shida Ni wenye mamlaka mkuu wa wilaya naye kaongea Sana tu hawamwelewi ila kwenye GDP kimkoa wapo vizur tofauti na mapato ya ndani
 
Kwani kuna shida gani huko? Wenye mamlaka wanafanyaje? DC kasemaje?
Aliwambia Kuna shida ya watendaji kukusanya mapato pia haiwezekan halmashauri ikusanye kiwango kidogo Cha mapato ili hali Ina fursa nyingi tu za kupata mapato akawambia anataka mwaka ujao wabadilike na walimwaidi pia wakamwambia wameanza ujenzi wa kumbi za mikutano na masherehe ,viwanda vya tofari na ujenz wa parking kubwa ya magari ya mizigo na wameanzisha mashamba makubwa ya parachichi ambayo wameanza kuzivuna mwez huu walimwaidi yatapanda
 
Hizo pambio na nyimbo nimekuwa nazisikia miaka yote,kama mumeshindwa nendeni kwa Bashungwa amuondoe DED..

Kwa kweli sijawahi ielewa Makambako TC,wenzie wote mapato yanapanda lakini hapo tuu hakuna cha maana..

Leo hii Wanging'ombe Halmashauri mpya inakwenda kufikisha 4 bln , Makambako mko kwenye 2bln miaka na miaka..

Njombe DC,Makete,Ludewa na Wanging'ombe zimewakuta na kuwapita tena Mji mkubwa,hii ni uzembe na aibu..

Yaani ukiangalia percentage za Halmashauri za Mkoa wa Njombe hapo chini,seems Halmashauri zote zitafikia malengo na kuvuka Kasoro Makambako tuu,inatuangusha Sana kama Mkoa.





 
Na kati ya GDP na mapato ya ndan yapi yana mchango chanya kwa mkoa maana ukiangalia items of GDP makambako tc ndo inaongoza kimkoa wa njombe ikifuatiwa na njombe tc kwa report ya November 2020
 
Na kati ya GDP na mapato ya ndan yapi yana mchango chanya kwa mkoa maana ukiangalia items of GDP makambako tc ndo inaongoza kimkoa wa njombe ikifuatiwa na njombe tc kwa report ya November 2020
Iweke hapo hiyo ripoti wote tuione
 
Tshs.
District
2016
2017
2018
2019
NjombeTC
3,661,674
4,756,514
4,768,358
5,601,876
Wanging'ombeDC
1,682,775
2,124,289
2,403,005
2,719,671
MaketeDC
2,143,392
2,451,777
2,623,507
2,726,711njombe tc ndo hiyo Ina 5na point na hiyo ya miaka 4
 
Tshs.
District
2016
2017
2018
2019
NjombeTC
3,661,674
4,756,514
4,768,358
5,601,876
Wanging'ombeDC
1,682,775
2,124,289
2,403,005
2,719,671
MaketeDC
2,143,392
2,451,777
2,623,507
2,726,711njombe tc ndo hiyo Ina 5na point na hiyo ya miaka 4
Sasa huoni pesa wanakula wachache maana kama hamkusanyi mapato hata uwezo wenu wa kuhudumia jamii yenu ni mdogo,pesa za Halmashauri zinabakia kwenye Halmashauri husika so hamumkomoi mtu hapo..

Na kama TRA inakusanya pesa nyingi kutoka Makambako ujue zinaenda kusaidia sehemu zingine za Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…