Kahama VS Njombe/Mafinga

Point dhaifu sana,

Moshi kuna watu wengi? au hautembei Boss
We vipi Moshi ni mji wa Zamani sana ulianza kuwa planned toka Wajarumani.Miji kama Moshi,Tanga Dsm ni mikongwe sana.Haipaswi kushindanishwa na NjombeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kahama is ahead of Njombe,
Hapa ni Town Council CBD kabla ya kuwa Municipal Counil thamani ya juu ya aridhi ni hivi. Ikijakutoka land valuation nyingine, Kahama itakuwa sehemu moja na Ilemela, Morogoro


Outside CBD ya Kahama ni CBD ya Njombe, logically watu wengi Kahama wanaoshi pembezoni mwa mji wanauwezo wa kifedha kumiliki aridhi katikati ya mji wa Njombe bila shida yoyote.


Njombe Town Council CBD / Outsise CBD


Outside CBD ya Kahama ni CBD ya Njombe, wacheni kulinganisha dhahabu na parachichi

Nadhani hii itakuwa comment yangu ya mwisho kwenye uzi huu, nimejifunza mengi kuhusu Njombe na watu wake. Zaidi nitaendelea kuwa msomaji tu. Asanteni
 
Kwa mwenye akili ataona kua CBD ya kahama ina eneo dogo sana ambalo ni planned tofauti na Njombe ambayo ina block nyingi sana na nje na CBD kuna maeneo mengi planned kuliko kahama.Hivyo ili upate eka moja kahama sio kazi rahisi maana utahitaji kuvunja vunja vijumba vya watu tofauti na Njombe ambayo tayari ni planned na pia ukiwa na CBD ndogo ambayo ni planned lazima watu watagombania hapo.Now tell how many Blocks in Kahama CBD viz-a-viz Njombe CBD.
 
Watu wanjombe hawana tofauti na waha wa kigoma kwenye ubishi alafu wanatake advantage ya kulinganisha miji yao hafifu na miji mikubwa ili wapate umaarufu.
 
Sababu ya mashamba kuwa valued more ni hii hapa πŸ‘‡

 
Hivi hao waliotengeneza Royal tour Wana akili timamu kweli? Yaani wame concentrate na bidhaa au vivutio ambavyo viko well known wakiacha vipya ambavyo ni best..

Beautiful Southern Highlands πŸ‘‡





















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…