Picha ya kwanza hako ka msitu nimekapenda. Tanzania kuwa ya kijani tukiamua ni suala la muda mbona maana tuna mvua nyingi za kutosha miti ikipandwa inaota bila shida.Utashi! Utashi wa viongozi wetu.
Nzuri sana hii.Japo me si wa huko ila kitu kizuri hakijifichi.
Hii night club ni kali sana kwa wale wala bata wa jiji letu la Mwanza.na hii muite ni mchoro, haafu kuna project moja ya BAKWATA inakuja maeneo ya Kishiri, bajeti 1bi TZSView attachment 2172370
Hii photo ungeweka kule kwenye uzi wetu wa Mwanza photo gallery, si kuleta humu kwa hawa mapopoma wa njombe.πππna hii muite ni mchoro, haafu kuna project moja ya BAKWATA inakuja maeneo ya Kishiri, bajeti 1bi TZSView attachment 2172370
Nzuri sanana hii muite ni mchoro, haafu kuna project moja ya BAKWATA inakuja maeneo ya Kishiri, bajeti 1bi TZSView attachment 2172370
Huyu ni Frester?The Pride of Kahama, wanajipanga kuleta huduma Southern Highlands, subiria chocho la Tabora Mbeya likamilike.
Yaani huyu anavyoiunganisha Mwanza na Kahama ni kama alivyokuwa Abood na Dar/ Moro yaani zinapishana tu.
View attachment 2172588
Ndio ndioHuyu ni Frester?
NjombeKaribuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Kiazi mwingine huyu, Mji hauna population density hayo mabasi yanapeleka nini huko??? Au makande???Mabasi mangapi yanatoka Dar kwenda Njombe Mafinga na Kahama...mji utakaokuwa na Mabasi mengi nitakwambia huo ndio uko juu ya mingine na hapa si mji mwingine isipokuwa Njombe
Matusi waachie watoto huko Facebook hapa JF MaGT tunataka hoja za haja. Haya sikiliza....Njombe inapokea biashara kati ya miji yenye biashara kubwa ya Iringa Mjini,Mafinga,Makambako,Mbeya Mjini na Songea. Njombe inaunganishwa na usafiri wa barabara,treni ya TAZARA na Anga.Kiazi mwingine huyu, Mji hauna population density hayo mabasi yanapeleka nini huko??? Au makande???
Kahama ina haina kuu tatu za usafiri kuanzia Mabasi, Treni na ndege yaani imekosekana pantoni tu. Na zote biashara ipo na uhakika. Let's come to Njombe.
Biashara yoyote ile ni watu sio maparachichi Boss
Aaahhhhh, unatuchanganya sasa. Mabasi mengi ni abiria au mizigo? Halmashauri inakusanya mapato kutokana na mabasi mengi au malori ya mizigo???Matusi waachie watoto huko Facebook hapa JF MaGT tunataka hoja za haja. Haya sikiliza....Njombe inapokea biashara kati ya miji yenye biashara kubwa ya Iringa Mjini,Mafinga,Makambako,Mbeya Mjini na Songea. Njombe inaunganishwa na usafiri wa barabara,treni ya TAZARA na Anga.
Kuna mabasi zaidi ya matano yanayofanya safari zake kati ya Njombe Mjini na Dar ukiachilia yale yanayopita jirani na mji huo kuelekea Mbeya,Songwe na Rukwa.
Huwezi ukaufananisha Njombe na Kahama Kahama inasubiri sana. Hadi mwaka jana Halmashauri ya Njombe ilikuwa miongoni mwa Halmashauri tatu kinara kwa ukusanyaji mapato ikikusanya more than 2.2 billion kwa 2018 pekee...Kahama ilitupwa mbali sanaa...mapato kwenye Halmashauri husika huonyesha vibrancy ya uchumi...sasa wewe unakuja na matusi humu kwa great thinkers unaleta mambo ya Facebook kutukanana...leta hoja nikuone sio kuleta story maandazi kwamba Kahama iko mbele.
Leta hoja nimeweka hoja nawewe weka hoja hayo mabasi hayabebi mawe...acha kuwashangaza wanabodi humu kwa kushindwa kujibu hoja zangu kwa facts kama nilivyoweka mimi...NIMEKWAMBIA NJOMBE IKO JUU Kuliko Kahama soma link hiyo chini kutoka TAMISEMI https://www.tamisemi.go.tz/storage/...IFA YA MAKUSANYO YA MAPATO - OKTOBA - 05.pdfAaahhhhh, unatuchanganya sasa. Mabasi mengi ni abiria au mizigo? Halmashauri inakusanya mapato kutokana na mabasi mengi au malori ya mizigo???
Boss umetuletea habari za Njombe kuwa na mabasi mengi kuliko Kahama. Nimekuuliza hayo mabasi yanapeleka huko Njombe Makande? Logically population ina influence kubwa sana kwenye biashara ya mabasi. Ndio maana nchi hii huwezi kutaja biashara ya Mabasi bila kugusa mikoa yenye population nene. Dar/Mwz/Arusha/ Mbeya.Leta hoja nimeweka hoja nawewe weka hoja hayo mabasi hayabebi mawe...acha kuwashangaza wanabodi humu kwa kushindwa kujibu hoja zangu kwa facts kama nilivyoweka mimi...NIMEKWAMBIA NJOMBE IKO JUU Kuliko Kahama soma link hiyo chini kutoka TAMISEMI https://www.tamisemi.go.tz/storage/...IFA YA MAKUSANYO YA MAPATO - OKTOBA - 05.pdf
Acha kujichekesha hayo mabasi yanayo ply between Njombe na Dar everyday yanabeba businesses kwa taarifa yako. Kahama na kabasi kenu kamoja na mapato vimilioni viwili unakuja kuchekacheka humu badala ya kuleta data?/facts. Mnafeli wasukuma wa kahama. Njombe sie wajanja Kariakoo ya Dar yenyewe tunaijenga sie...biashara mle ndani plus majenzi tumeshika sie...kuufananisha Njombe na Kahama ni kutukosea sana...shukuruni waburundi wanakuja kununua nyanya hapo kahama.Boss umetuletea habari za Njombe kuwa na mabasi mengi kuliko Kahama. Nimekuuliza hayo mabasi yanapeleka huko Njombe Makande? Logical population ina influence kubwa sana kwenye biashara ya mabasi. Ndio maana nchi hii huwezi kutaja biashara ya Mabasi bila kugusa mikoa yenye population nene. Dar/Mwz/Arusha/ Mbeya.
Kwa kanda ya ziwa baada ya Stand ya Nyegezi, stand inafuata kwa Ukubwa wa biashara ya Mabasi ni Kahama.
Sasa ukianza kutulutea suala la report za tamisemi na biashara ya Mabasi unatuchanganya. Nyie huko Njombe ni malori tu tena yanakuja kuchukua malighafi za mashambani. Ungesema hayo ndio yanayoboost mapato ya Njombe.
Wewe unatuletea hoja za idadi ya Mabasi na Ukubwa wa mji.
Hata Kahama bado malori ni sehemu yake, kwa siku tu semi 300+ lazima zitue Kahama ziwe za kupita au kufika hapo hapo.
Unauongelea biashara ya Mabasi huna population?Acha kujichekesha hayo mabasi yanayo ply between Njombe na Dar everyday yanabeba businesses kwa taarifa yako. Kahama na kabasi kenu kamoja na mapato vimilioni viwili unakuja kuchekacheka humu badala ya kuleta data?/facts. Mnafeli wasukuma wa kahama. Njombe sie wajanja Kariakoo ya Dar yenyewe tunaijenga sie...biashara mle ndani plus majenzi tumeshika sie...kuufananisha Njombe na Kahama ni kutukosea sana...shukuruni waburundi wanakuja kununua nyanya hapo kahama.
Sio kiazi tu ni kiazi mbatata.πππKiazi mwingine huyu, Mji hauna population density hayo mabasi yanapeleka nini huko??? Au makande???
Kahama ina haina kuu tatu za usafiri kuanzia Mabasi, Treni na ndege yaani imekosekana pantoni tu. Na zote biashara ipo na uhakika. Let's come to Njombe.
Biashara yoyote ile ni watu sio maparachichi Boss
Sukuma gang mmepigwa na kitu kizito mmekimbilia kujisifia na sifa zisizokuwepo yaani kikahama ukifananishe na gunjombe aah wee labda huijui njombe...hakuna asieelewa business na development kwenye nchi hii inashikwa na wachaga pamoja na wakinga plus wabenaSio kiazi tu ni kiazi mbatata.