Hizo nyumba za makazi ni kawaida sana, kwa sasa miji mingi iko na makazi mazuri. Nikichukulia ukanda huo Ilula na Mtua, Ifunda, Tosa, Mbalamaziwa, Tanangozi, Nyororo, Igawa, Chimala, Igurusi nk kote huko kumejengwa nyumba nzuri tu, kinachoweza kutofautisha ni labda ukubwa wa jiografia tu ya mji, kwa hiyo sioni kama kuna cha ajabu( nimetolea mifano ya ukanda huo tu kwa ajili ya Rejea@ Mdatchu)