Kahama VS Njombe/Mafinga

cc Istanbul.Hivi ule Mkoa una laana gani hasa maana Hali ya hewa ni nzuri,una wasomi wa kutosha na upo mpakani shida nini hasa?
Wamefunga mipaka yote...wananchi hawarusiwi kufanya trade na nchi za jirani...


Kitu kingine population ya mkoa ni kubwa sana yaan mara Tano ya mkoa wa njombe kagera Sasa ina 3.5million.....

Kitu kingine uhamiaji haramu ni mkubwa sana Kwa Sasa asilimia 30 ya wakazi wa mkoa huu ni warwanda ..Hawa watu wanavamia na wanaanzisha vijijini hasa zile sehemu zenye population density ndogo tofauti na uhayani



Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani population ni laana? Population ni faida,in fact hiyo population ingekuwepo Mbeya tungeshawapiga teke Mwanza kitambo Sana,unless population yenu ni ya wavivu tuu.

Pili hilo la mipaka,mipaka ipi imefungwa? Ya Rwanda au Uganda? Na kwa nini wafunge? Kwamba saizi hakuna usafiri baina ya hizo Nchi?.

Sasa kama wahamiaji haramu wako wengi mnashindwa nini kuwatoa? Mamlaka zinasemaje? Huko kuna Kambi za Jeshi nk ..Mwisho kwani wakiingia wanavuna mali na kurudisha kwao au wanawake huko huko?

Tafuteni sababu za msingi,mada wenu Kazi yao ni umalaya tuu kuanzia Mwanza,Dar hadi Sumbawanga afu unaleta visingizio vya kitoto hapa 😜😜
 
Mbona mpaka na Kenya,Zambia,Malawi,DRC haijafungwa? Kwa nini huko wafunge?

Hivi hii excuse hadi lini? Na mikoa ambayo haipakani na Nchi jirani wanaendeleaje? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kijana hebu panua uwezo wako wa kufikiria kidogo ....

Acha kuwa inferior na kuishia kutukana makabila ya watu baada ya kutoa hoja za msingi

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…