Kahama VS Njombe/Mafinga

Wewe umesoma kichwa tu unatoka nduki eti wakinga wachawi.Basi wewe ni mchawi pia.
Yaan makabila yote zaidi ya 120.... Wakinga ndo wamechaguliwa topic...



Hata kama watakanusha lakin jamii ishaamini hivyo
 
Wao wamekatazwa kutumia uchawi? Ndo mushashindwa hivyo mnapiga maneno tuu yasiyo na maana
Sisi huko hatupo kwenye uchawi kabisaa....

Sisi tunaadvance kwenye elimu na maendeleo.


Wahaya wengi wanafungua makapuni ya ukoo ambayo yanakuwa na nyanja zote za elimu.

Mfano Koo maarufu zenye makampuni Yao..Kairuki,luganuza,Rugemalilas, Barongo,Rabininsia,abemulo,biotech na mushumbusis....
Mambo ya uchuuzi fanyeni nyie na uchawi wenu
 
Fanyeni mambo ya msingi....View attachment 2071643
Una matatizo kama sio kuchanganyikiwa ,kwamba dual carriage ya zaidi ya km 200 sio jambo la msingi?

Wivu mbaya sana utakuua mapema Sana we Mzee ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.

Na Kwa taarifa yako hiyo barabara ikifika Mbeya Mjini itakengwa kuwa 6 lanes with pedestrian side walks.On top of that kuna Mbalizi-Iwambi bypass, Uyole-Mbalizi Bypass na pedestrian bridge
 
Maendeleo gani mliyonayo,saizi mnapigwa na wajinga mnabakia kuleta excuses za kijinga.

 
Wazee wa kuchamba ziwani,ndio maana kansa haziwezi kuwaisha ๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

Kagera na Lake zone Mbatia aibu Sana Tzn hapa ๐Ÿ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ