Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Hukusikia vizuri, serikali imeitaja mikoa maskini kama unavyoona hapo kwenye red,Mwanza ni miongoni mwa maskini hao ππ..Serikali imesema mikoa yote ya Nyanda za juu kusini ina utapiamlo, na njombe ndo kinala, yaani njombe inaizidi hadi rukwa kwa kukosa hata ile pesa ya kula.View attachment 1980932
Hali halisi π€£π€£π€£π€£,tokeni kwenye umaskini kwanza ndio mje kujadiliana na mimi π
Na tajiri hana utapiamlo, wenye utapiamlo huwa ni masikini tu, Utapiamlo=Umasikini, jikiteni kwanza katika kutafuta pesa ya kula kwanza, sie wenzenu tushatoka huko.Utapiamlo sio umaskini
Serikali imesema waskini ni Hawa hapa
View attachment 1980934
View attachment 1980935
Matajiri Hawa hapa except wazee wa sound wahaya πNa tajiri hana utapiamlo, wenye utapiamlo huwa ni masikini tu, Utapiamlo=Umasikini, jikiteni kwanza katika kutafuta pesa ya kula kwanza, sie wenzenu tushatoka huko.
Kwani umeona ni mimi nimesema au ni Serikali? Umemuona Opportunity cost ndio ka compile report hapo? π€£π€£ππutapiamlo ni kitu kibaya sana, wewe huyohuyu unasema kagera ni masikini afu wewe huyohuyo unasema wahaya ndo wanaongoza kwa utajiri Tanzania,
Umasikini na utapiamlo ni kama Pete na kidole.
Hakuna waziri anaitwa Mpango wewe masikini mwenye utapiamlo, ila Kuna waziri anaitwa Adolf Mkenda na kasema maneno haya ya motomoto kabisaKwani umeona ni mimi nimesema au ni Serikali? Umemuona Opportunity cost ndio ka compile report hapo?
Acha kutapatapa nenda kamuulize Mpango ,povu sitaki.Wahaya sio lazima wakae kwao,waliosoma wamekimbia kwao kwa sababu kuna Nuka umaskini not liveable.
Umaskini ni mbaya sana unaharibu hadi akili,Mpango anasema mikoa ya Lake zone ni maskini wa kutupwa, anasema watu wanaishi Kama nguruwe huko Biharamulo.
Ukiona mkoa wowote wa Southern Highlands hapa nitag
View attachment 1981028
View attachment 1981029
Basi Waziri ni wewe,ni hivi hayo yote hayatabadili ukweli kwamba Kanda ya Ziwa ni maskini nanaishi kama nguruwe ππππ..Hakuna waziri anaitwa Mpango wewe masikini mwenye utapiamlo, ila Kuna waziri anaitwa Adolf Mkenda na kasema maneno haya ya motomoto kabisaView attachment 1981044
Udaku wa 2016 kutoka Bongo 5 tupa kule, ya motomoto hii hapa ya masikini ambao wameshindwa hata kujipatia chakula Cha kutosha wamekondeana na kudumaa. Kanjombe ndo kakinara, yaani zaidi ya nusu ya wakazi wake ni masikini hawawezi kujikimu hata msosiBasi Waziri ni wewe,ni hivi hayo yote hayatabadili ukweli kwamba Kanda ya Ziwa ni maskini nanaishi kama nguruwe..
Povu pekea Mpango ndio alisema hivi
View attachment 1981047
View attachment 1981049
Mwambie alete current data sio kila siku analeta mizoga ya magazeti ya miaka kumi iliyopita huyo fala huwa hana hoja zaidi ya viroja yeye hana cha kuandika au kupost zaidi ya hiyo report ya uzushi ya magazeti na mapicha ya miti ya miparachichi.Udaku wa 2016 kutoka Bongo 5 tupa kule, ya motomoto hii hapa ya masikini ambao wameshindwa hata kujipatia chakula Cha kutosha wamekondeana na kudumaa. Kanjombe ndo kakinara, yaani zaidi ya nusu ya wakazi wake ni masikini hawawezi kujikimu hata msosi, Yaani wanakula kwa kuungaunga mlo mmoja kwa siku.View attachment 1981059
ππππππ Kamwambie Dr Mpango akanushe huu udaku..Udaku wa 2016 kutoka Bongo 5 tupa kule, ya motomoto hii hapa ya masikini ambao wameshindwa hata kujipatia chakula Cha kutosha wamekondeana na kudumaa. Kanjombe ndo kakinara, yaani zaidi ya nusu ya wakazi wake ni masikini hawawezi kujikimu hata msosi, Yaani wanakula kwa kuungaunga mlo mmoja kwa siku.View attachment 1981059
Kwani hapa ni wapi?
Lake zone Mkitoka kwenye umaskini ndio uje kuzungumza wachapakazi wa Southern Highlands πKwani hapa ni wapi?
Na ndio miji imejaza maskini Sana maana sio sifa kuwa machinga..Hii nchi habari za wamachinga zinazu gumzwa kwenye miji miwili tu DAR na Mwz ....
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Miji iliyojaa maskini inaongoza kwa GDP eti???Na ndio miji imejaza maskini Sana maana sio sifa kuwa machinga..
Bora hata Dar sasa huko Mwanza Hali halisi ni hii hapa
View attachment 1981128
Ndio maana yake,kwani Nigeria haiongozi kwa GDP? Si ina maskini wengi kuliko nchi yoyote Afrika?Miji iliyojaa maskini inaongoza kwa GDP eti???
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Nguruwe mnafugwa sana huko kusini na mnakula mlo mmoja tu, habari za moto hizi hapa, yaani za wiki hii hii kutoka serikalini chini ya Rais Samia Suluhu HassanKamwambie Dr Mpango akanushe huu udaku..
Kinachojulikana ni kwamba Lake zone yote kumejaa maskini mnaishi kama nguruwe..povu usiniletee mimi kampelekee Dr Mpango
View attachment 1981077
View attachment 1981078
View attachment 1981079
View attachment 1981080
Atatoa wapi huyo nguruwe, anayo hii hapa tu ila hawezi kupostMwambie alete current data sio kila siku analeta mizoga ya magazeti ya miaka kumi iliyopita huyo fala huwa hana hoja zaidi ya viroja yeye hana cha kuandika au kupost zaidi ya hiyo report ya uzushi ya magazeti na mapicha ya miti ya miparachichi.