Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Nilisema unipe Takwimu za GDP za Simiyu hadi leo hujaleta,tuko vizuri sana kwenye pesa hizo zingine ni porojo, tunafanya vizuri kwenye elimu na uchumi sasa hata wewe unalijua hili ila unajitoa ufahamu..Mikoa ya kusini kabla ya kupambana na mikoa ya kanda ya ziwa pambaneni kwanza na viribatumbo, kwashiokor pamoja na udumavu wa kimwili mkimaliza hayoa njooni tuendelee na mpambano wa kiuchumi.
Sio Mwaka huu tu, bali miaka yote huko mnaongoza kwa udumavu wa afya, akili, Uchumi, nkOnyesha aliposema maana naona wewe ndio unajisemesha
Soma hiyoo,Sometimes huwa hueleweki,GDP figures ziko humu na ndicho hicho kilichoelezwa na msemaji mkuu wa Serikali..
Hata huyo msemaji wa serikali kazingua,huwezi sema eti Mkoa wa Mwanza unachangia mapato kwa 7% bali unachangia uchumi kwa 7% na sio mapato,huu ni upotoshaji.
Alichosema ni kipo hapo kwa mujibu wa NBS ko hiyo hakuna jipya,sasa hayo ni mapato?
View attachment 1977753
View attachment 1977754
Njombe inaongoza kwa udumavu Tanzania, Nyanda za juu kusini ukitoa mbeya tu mikoa yote iliyobaki Ni Afya mgogoro. Wakati kanda ya ziwa hakuna hata mkoa mmoja Afya mgogoroOnyesha aliposema maana naona wewe ndio unajisemesha
Wapi panapoonesha ikiongoza? Nachojua Mwanza na lake zone inaongoza kwa umaskiniNjombe inaongoza kwa udumavu Tanzania, Nyanda za juu kusini ukitoa mbeya tu mikoa yote iliyobaki Ni Afya mgogoro. Wakati kanda ya ziwa hakuna hata mkoa mmoja Afya mgogoro
Kwa akili yako ya kisoda unaona hii taarifa iko sawa?Soma hiyoo,View attachment 1978326
Kwa hiyo KGM na Njm ni ndugu eti? ππππ
Nimekuchunguza nikaona akili zako huwa hazipo sawa.Wapi panapoonesha ikiongoza? Nachojua Mwanza na lake zone inaongoza kwa umaskini
Uko sahihi siwezi kuwa na akili sawa na wewe ndio maana kwa ujinga wako unaamini upuuzi,sisi kutoka Njombe ni wafanyabiashara wakubwa nchi hii,sasa kilaza aliyedumaa anaweza kuwa mfanyabiashara mkubwa?Nimekuchunguza nikaona akili zako huwa hazipo sawa.
Njombe 53.6%, afu ukitoa kigoma Top six yote ni mikoa ya Nyanda za kusini, Siku zote masikini wana lishe duniWapi panapoonesha ikiongoza? Nachojua Mwanza na lake zone inaongoza kwa umaskini
Nyingi Sana,Tzn hii kwa mfano wazalishaji wakuu wa mbegu za kilimo na madawa ya mifugo/ kilimo viwanda viko Arusha..Tech gani iliyoingia Tz kuputia Arusha?, labda huwa zinatoka Arusha zinaenda mikoa ya kusini.
Jibu swali langu waliodumaa akili wanaweza kuwa ndio wafanyabiashara wakubwa Tzn? Waliodumaa akili ndio wanaweza kuwa wasomi Tzn?Njombe 53.6%, afu ukitoa kigoma Top six yote ni mikoa ya Nyanda za kusini, Siku zote masikini wana lishe duniView attachment 1978370
Kwa akili yako ya kisoda unaona hii taarifa iko sawa?
Kwanza hapo ulipo umedumaa kifikra na kiakili na hizo ni dalili za lishe duni kipindi cha ukuaji wako.Jibu swali langu waliodumaa akili wanaweza kuwa ndio wafanyabiashara wakubwa Tzn? Waliodumaa akili ndio wanaweza kuwa wasomi Tzn?
Hizo ni taarifa na Takwimu uchwara na haziwezi kuwasaidia kuondokana na umaskini uliotopea Kanda ya Ziwa.
Kamwe hawawezi kuwa, ndo maana kwa udumavu wenu mmebaki kuwa wajinga na masikini, duh! Kanda nzima mmedumaa Afya ya mwili na Afya ya akili!! Hapo ukiweka top 7 na mbeya inaingia, ila njombe ndo namba moja kwa udumavu nchini.Jibu swali langu waliodumaa akili wanaweza kuwa ndio wafanyabiashara wakubwa Tzn? Waliodumaa akili ndio wanaweza kuwa wasomi Tzn?
Hizo ni taarifa na Takwimu uchwara na haziwezi kuwasaidia kuondokana na umaskini uliotopea Kanda ya Ziwa.
Na kiafya piaKwanza hapo ulipo umedumaa kifikra na kiakili na hizo ni dalili za lishe duni kipindi cha ukuaji wako.
πππππ Mkuu tatizo nini ikiwa mikoa yote Kanda ya Ziwa inaongoza kwa umaskini?πKamwe hawawezi kuwa, ndo maana kwa udumavu wenu mmebaki kuwa wajinga na masikini, duh! Kanda nzima mmedumaa Afya ya mwili na Afya ya akili!! Hapo ukiweka top 7 na mbeya inaingia, ila njombe ndo namba moja kwa udumavu nchini.
ππ Nimekuuliza hapo juu kwa nini waliodumaa wanaongoza kuwa wafanyabiashara wakubwa Nchini hujajibu..Sasa ndugu kama kudumaa kumeniganya kuwa engineer bora niendelee kudumaa,huu ni udumavu wenye maana kumbe nisingekuwa nimedumaa ningekuwa kama Einstetein .Kwanza hapo ulipo umedumaa kifikra na kiakili na hizo ni dalili za lishe duni kipindi cha ukuaji wako.
Sisi hatunywi zebaki tuko stable hatari,zebaki zitawamaliza kwa kansaNa kiafya pia
Leshe duni utakuwaje stableSisi hatunywi zebaki tuko stable hatari,zebaki zitawamaliza kwa kansa