Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Nyie ndio wasambazaji wakuu wa ujinga huoMakao makuu ya UKIMWI ni Makete, Wahaya walishaelimika suala la UKIMWI sio tatizo tena, elimu duni njombe ususani makete ndo tatizo kuu la kushindwa kupambana na UKIMWI.
Siku mkielimika ujinga ukafutika kwenye vichwa vyenu mkaachana na ngono zembe, ndo siku ambayo maambukizi ya UKIMWI njombe yatapungua.Nyie ndio wasambazaji wakuu wa ujinga huo
Kaarusha ni kama ilemela tu, Ni majiji mawili tu hapa nchini yaliyoendelea hadi kupitiliza na kupelekea kuzaliwa manispaa ndani yake. Vingine vyote ni vijiji vidogo vidogo.
Mwanza ikifikia hapa mnitag πKaarusha ni kama ilemela tu, Ni majiji mawili tu hapa nchini yaliyoendelea hadi kupitiliza na kupelekea kuzaliwa manispaa ndani yake. Vingine vyote ni vijiji vidogo vidogo.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mwanza ikifikia hapa mnitag πSiku mkielimika ujinga ukafutika kwenye vichwa vyenu mkaachana na ngono zembe, ndo siku ambayo maambukizi ya UKIMWI njombe yatapungua.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Huko tushavuka miaka ya 90, kwa sasa hiyo ni ilemela tu.
Hapo ni level ya ilemela, na bado ilemela inapakalisha
Sasa hapa Kuna tofauti gan na ilemela tu
Ilemela si ni kijiji au ni uchochoro gani?Sasa hapa Kuna tofauti gan na ilemela tu
Ilemela ni jiji ndani ya jiji, kinondoni ni jiji ndani ya jiji. Labda pengine sheria hairuhusu kuwa na jiji ndani ya jiji, make haiwezekani Ilemela, Ubungo na Kinondoni ziitwe manicipal afu likijiji likuuubwa Mbeya liitwe jiji.Ilemela si ni kijiji au ni uchochoro gani?
HahaaaaaaIlemela ni jiji ndani ya jiji, kinondoni ni jiji ndani ya jiji. Labda pengine sheria hairuhusu kuwa na jiji ndani ya jiji, make haiwezekani Ilemela, Ubungo na Kinondoni ziitwe manicipal afu likijiji likuuubwa Mbeya liitwe jiji.
Top 5 ya maji yenye mapato mengi Tzn,Mbeya imechapa poor rock city ππ.Hahaaaaaa
Jamaa anajua ukwel bali anajitoa ufahamu tu
Rock cty haitaji promo yenywe tu inajionesha
Acha uzwawa ww πππTop 5 ya maji yenye mapato mengi Tzn,Mbeya imechapa poor rock city ππ.
Soma hiyoo π
View attachment 1976334
Afu kingine haya ni mapato ya halmshaur walivyoset target zao haihusiani chochote na maendeleo ππAcha uzwawa ww πππ
Hiyo ni halmshaur moja tu
Mbona umeicrop ilemela???
Hakuna kitu huko zaidi ya ufukara uliokithiri.Acha uzwawa ww πππ
Hiyo ni halmshaur moja tu
Mbona umeicrop ilemela???
Nyie matajari mnaendeleaje hukoππHakuna kitu huko zaidi ya ufukara uliokithiri.
Tunakula maisha kama wale wasomi wa tandabui ππππNyie matajari mnaendeleaje hukoππ
Mbeya city
Pole sana hakuna tandabui sikuhizTunakula maisha kama wale wasomi wa tandabui ππππ
Umehamia arusha tenaπππ