Tekno akifanya yake mjini, wasanii kama hawa hawaji vijijini make vijijini hakuna hela, nyie huko kijijini komaeni na show za amber lulu na na Giggy MoneyPesa zipo ila tuu hatuna shobo za kijinga na ushamba,hao akina fally ipupa tunawaona congo mara kwa mara maana sisi tuko border,nyie washamba ndio mnaona ni big deal
Acha uongo wewe, CCM imewajengea vidispensary , vishule, vibarabara, umeme afu unakuja hapa unajifaragua eti hamuishi kwa kudra za ccm, sio kama kwamba hampati kabisa hapana bali nyie ni wa mwisho kabisa make hata kwa umuhimu pia ni wa mwisho.
Naona unazidi kujikoroga mwenyeweAkili gani tena hizi? Kwani hivyo Vitus vya Afya vinajengwa kwa pesa za ccm?
Halafu sisi umuhimu hatupewi na wajinga kama wewe, na hao ccm wako
Sisi umuhimu tunajipa wenyewe.
Show za kibabe in town, hizi kusini mnaziona kwenye magazeti tuhizi ni za pwani na kanda ya ziwa tu.View attachment 1974099
Dah hizi akili zilizozoea show za Gigy money ni shida kwelikweli, kwa taarifa yako huyo msanii kuja tu kufanya shughuli hapa bongo tayari serikali inapiga pesa,Sisi tunakusanya fedha kila pande ya dunia ndani na nje wewe inafutahia wanaokuja kuchekua fedha na kwenda kula raha Paris.Kwangu lilomuhimu ni lile linarudisha pesa.Issue ya wasanii wa nje ni hasara kwa Taifa tu.Jiulize wanarekani wakati wa fiesta walikomba USD ngapi TZ na nchi ilipata nini?
Hizo ni sababu ya jiografia na imebaki historiaKagera ndio mlisambaza ukimwi kwa wenzenu ikiwemo huku kwetu
Yaani wewe kutoka kanda ya utapiamlo ujielewe alafu mimi nisijielewe??Umeisoma hiyo taarifa au hujielewi?
Hujielewi,Kila taarifa mbaya hamkosi nyie wazee wa soundYaani wewe kutoka kanda ya utapiamlo ujielewe alafu mimi nisijielewe??
Historia iliyobakia ni umaskini.Hizo ni sababu ya jiografia na imebaki historia
Unateseka sana maskini wa kusini huna lolote umepaukaHistoria iliyobakia ni umaskini.
Maskini ni wazee wa sound wahaya na ndugu zenu wasukuma,wapi uliwahi ona Kusini kuna maskini?Unateseka sana maskini wa kusini huna lolote umepauka
Kwa hiyo utapiamlo ni taarifa nzuri wewe maskini wa kusini?!Hujielewi,Kila taarifa mbaya hamkosi nyie wazee wa sound
Umejificha huko kwenye umaskini, kusini naijua yote mmepaukaMaskini ni wazee wa sound wahaya na ndugu zenu wasukuma,wapi uliwahi ona Kusini kuna maskini?
Makao makuu ya UKIMWI ni Makete, Wahaya walishaelimika suala la UKIMWI sio tatizo tena, elimu duni njombe ususani makete ndo tatizo kuu la kushindwa kupambana na UKIMWI.Kagera ndio mlisambaza ukimwi kwa wenzenu ikiwemo huku kwetu
Kusini yote imejaa mafukara, ndo maana vitu kama hivi mnaona kwa tv tuMaskini ni wazee wa sound wahaya na ndugu zenu wasukuma,wapi uliwahi ona Kusini kuna maskini?
Watu wansisifia sana Kahama mimi h7wavhukulia washamba tuu. Kamvhi kapo rough, ujenzi hauelweki, no recreational centres. Ila na Njombe ni hivyohivyoKahama kuna nini ambacho hakipo kwingine?
Pale tunaposema nyuma ya dar Kuna mwanza.Maskini ni wazee wa sound wahaya na ndugu zenu wasukuma,wapi uliwahi ona Kusini kuna maskini?
Mwanza city. Second after Dar.Maskini ni wazee wa sound wahaya na ndugu zenu wasukuma,wapi uliwahi ona Kusini kuna maskini?
Mkifika hapa ndio ndio mjiite City kubwa 👇
Density gani hiyo, density ni kama hii ya Chuga 👇Pale tunaposema nyuma ya dar Kuna mwanza.
Check density ya maghorofa mtaa wa rufiji mwanzaView attachment 1975077