Kahama VS Njombe/Mafinga

πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘πŸ₯‘Sasa watu tunapowaambia Njombe kwa ukuaji ni level nyingine wawe wanatuelewa.Born 2012 growing at 63% wakati mikoa kongwe Kama kagera ikikua kwa nusu ya Njombe it is massive and phenomenon improvement.Five years to come our GDP will be 4+Go Njombe Go
 
Siku zote ukiona mtu anaongelea ubaya wako tu ujue Kuna good side of you ambayo anashindwa kuiachieve.Ili at least mlingane kiuwezo but huwa sio possible....

Ndo maana ukiangalia makabila successful nchini Kama wahaya,wachaga nk yanapigwa vita na kutukanwa Sana nchini kwa sababu yamepiga hatua kuliko makabila yote katika nchi hii.


Wew kwa akili yako timamu unaweza linganisha usukumani na uhayani si mbingu na Ardhi kabisa hata Kama GDP ya kagera ni ndogo.

Hata Nigeria Wana GDP kubwa lakin Kuna umaskini wa kutupa
 
Sound tuu hamna kitu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚ Kagera bwana ona hapa πŸ‘‡

 
Soma hiiπŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 1973147
We unamuamini huyo mjinga? Jengo la kwanza kuwa na lift ni toka 2012(Jengo la chama cha walimu) .

Huyo jamaa ni mshamba tuu kama kenge wengine,jitu hata haijulikani lilowahi fika Mbeya lini linaropoka tuu,linadhani Mbeya ya Sasa ni ya kama zamani.

Kuna majengo mengi tuu yenye rift na miongoni mwayo ni haya hapa















 
Yaan Hilo jengo ndo linaloonekana tu
 
Mwisho wa siku hii ndio kahama yenyewe

Tuweni serious sometimes,
Honestly this settlement haina hadhi ya manispaa..
Poor,disorganized, dirty

 
Baada ya pwani na kanda ya ziwa inafuata kaskazini, kusini ni ya Mwisho kabisa huko mkiani, Leo tena Rais yuko kanda ya ziwa kwa mara nyingine, yaani yeye anarudiarudia pwani na kanda ya ziwa tu
, ila kwa Sasa itabidi aende kaskazini make ndo kanda inayofuatia kwa umuhimu katika nchi hii baada ya Pwani na Lake zone, Kusini nyie ni wa mwisho mkiani kabisa
,ila tulieni ipo siku atakuja japo kuwazuga kidogo make nyie mmetengwa.
 
Tarehe 18 atakuwa ziarani kagera
 

Hata asipokuja hadi amalize awamu, hata watangulizi wake walikuwa hawatembelei wala kuelekeza miradi nyanda za juu kusini but guess what???
Watu wa kusini hatuishi kwa Kudra ccm Mzee. We are hard workers na ndio maana tumepiga hatua kiuchumi na kijamii.
Free your mind and Learn from us.
 
Jiji zima naona gorofa moja tu
 
Acha uongo wewe, CCM imewajengea vidispensary , vishule, vibarabara, umeme afu unakuja hapa unajifaragua eti hamuishi kwa kudra za ccm, sio kama kwamba hampati kabisa hapana bali nyie ni wa mwisho kabisa make hata kwa umuhimu pia ni wa mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…