Kahama VS Njombe/Mafinga

Ukipata round about kali kama hii huko Bukoba village town mnitag.

Swax town baby πŸ‘‡



 
Numbers don't lie..haya wale wa njombe njooni mpambane na takwimu..tangulini mbao na maparachichi yakashindana na dhahabu na almas.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huo mji mpauko utakuuguza presha
huna jipya la kutuonesha View attachment 1969375
Hivi huko kwenu hakuna wahandisi wenye viwango wa kujenga barabara vizuri? Barabara mbaya afu nyembamba Sana 🀭🀭

Fananisha na hiyo round about hapo juu,iko classic tofauti ni kwamba picha yangu ni horizontal na hiyo yako ni aerial photo..

Anyway Bukoba village town ikifika mpauko huu mnitag..

Swax town at night πŸ‘‡













 
Njombe chaliiii cha mende mmebinuliwa kama malaya wa kimboka
 
Njombe chaliiii cha mende mmebinuliwa kama malaya wa kimboka
Chali kwa lipi? Au kwa sababu haijatokea kwenye GDP figure?

Tuletee na Per Capita utajua nani ni Chali..

Mwisho Takwimu za Mwanza na Shinyanga zinahusisha Mkoa wa Simiyu,wakiweka za Simiyu hizo figure zenu zitapungua na mtatia aibu,kwa hiyo Ili kuwafichia aibu wameamua kujifanya hawazioni Simiyu 😁😁

Yaani Mbeya isingegawanywa Kuwa Songwe ingekuwa na GDP kubwa kuliko Mwanza 😝😝
 
Unafanya comparison ya wakulima wa maparachichi na matajiri wa dhahabu ? Kahama inajilinganisha yenyewe
 
Kabla ya mkoa wa simiyu kuzaliwa je Mwanza ilishawahi kuzidiwa na mkoa wowote zaidi ya Dar?
 
Utakuta ata data za mapato ya dodoma walicompile ya nyanda za juu kusini.
Achaneni na Njombe kabisa nyie sio mkoa wa kulinganisha na wachunga ng'ombe na washamba..

Jitihada za Wananjombe zinatambuliwa kitaifa wewe ni nani hadi upinge?

Ni Njombe Tena πŸ‘‡





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…