Naona unaweweseka Mara njombe,Mara iringa,Mara mbeya,Mara makambako.Ukipata Mji kama Iringa huko Nyumbu zone nitag
View attachment 1946446
View attachment 1946447
View attachment 1946448
View attachment 1946449
We kweli hamnazo kwanza tubarabara tuko very local and narrow na hatuna quality,huoni aibu kutuweka hapa?huko ndo wanajenga Leo?
Mambo ya barabara yalishapitwa na wakati mjini bukoba.
Vitu minor Sana.
Sasa wanarekebisha zile old roads bukoba sio kujenga barabara za lami
Anyway baadhi ya barabara mjini bukobaView attachment 1947598View attachment 1947599View attachment 1947600View attachment 1947601View attachment 1947602View attachment 1947603View attachment 1947604
Mji mdogo huo Kama manzese.
Nakuwekea picha za miji ya Kusini uone ilivyosahaulika..Naona unaweweseka Mara njombe,Mara iringa,Mara mbeya,Mara makambako.
Yaan mji wa bukoba unapambana na kusini nzima
Leo nikutembeze vilima vya kashura mjini bukobaView attachment 1947605View attachment 1947606View attachment 1947608View attachment 1947609View attachment 1947610
Nakujua wew jamaa mbishiWe kweli hamnazo kwanza tubarabara tuko very local and narrow na hatuna quality,huoni aibu kutuweka hapa?
Tunaongeza barabara zenye quality.
Ukipata barabara zenye quality kama hizi huko kijijini Bukoba nitag.
View attachment 1947611
View attachment 1947612
View attachment 1947613
View attachment 1947614
Unarudia rudia picha mpaka zinakeraNakuwekea picha za miji ya Kusini uone ilivyosahaulika..
Sumbawanga tena
View attachment 1947625
View attachment 1947626
View attachment 1947627
Miji yenu bado Sana aiseeNakuwekea picha za miji ya Kusini uone ilivyosahaulika..
Sumbawanga tena
View attachment 1947625
View attachment 1947626
View attachment 1947627
Bukoba Vive beach bukobaNakuwekea picha za miji ya Kusini uone ilivyosahaulika..
Sumbawanga tena
View attachment 1947625
View attachment 1947626
View attachment 1947627
Stress na njaa zinafanya muuane kama kenge wanagombea jike π
Akimaliza kushangaa hapo ashangae na Beach nyingine hapa town
Serengeti na kagera wap na wap.
Mitaa mbali mbali mjini bukoba
Kusini kumesahaulika hakuna hata ndege ππ..
Huku route zinaongezeka tu.Kusini kumesahaulika hakuna hata ndege..
Rada zimefungwa wapi vile?
View attachment 1948063
View attachment 1948064
Wewe nadhani umewehuka na unaweweseka,kwamba ikiwa usiku haiwi barabara?Nakujua wew jamaa mbishi
Sasa ulizopost ndo barabara? Au kwa kuwa usiku?
Bukoba imewaacha mbali Sana.View attachment 1947628View attachment 1947629
Narudia picha sio?Unarudia rudia picha mpaka zinakera
Anyway
Among the oldest hotels in bukoba.
Bukoba coop hotel 1957View attachment 1947631View attachment 1947632View attachment 1947633View attachment 1947635
Akili za makada wa CCM buana, huu upuuzi gani umepost we kada, bukoba ni zaidi ya lile likijiji likuuubwa + hiyo ufipaNarudia picha sio?
Swax kiboko ya Bukoba
View attachment 1948740
View attachment 1948741
View attachment 1948743
View attachment 1948744
View attachment 1948745
Eti Giza. Ulijua Giza wew.Wewe nadhani umewehuka na unaweweseka,kwamba ikiwa usiku haiwi barabara?
Upuuzi huo ndio barabara hizo za mjini? Kamji kamejaa giza kama makao ya wanga.